Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

Couldn't care less. Kuna walioamaliza Form Four 1976, sasa watu kama hao sijui utawaita nani? Unajua tena, rika langu ndilo last of the old school, wasomi wa kweli enzi zetu (ingawa Remmy Ongala na Bongo Beats, "Thriller" by Michael Jackson, breakdance, na technology kama VHS video na Music Cassette Players, etc ndivyo villivuma sana wakati huo), kabla ya "globalization and the insurge of satellite TV, CDs, DVDs, internet, cell phone and all that trash you have today.

wa 1976 nipo nimejaa tele, mtaani hawaniiti babu bali afsa :)


 
mnekimbusha mbali,nlikuwa kama nimelogwa secondari,hasa yan prep ya sa4 ucku nlikuwa nalala clac,alaf shule yetu enz izo kusoma ilikuwa mwisho sa4 ucku sasa ile muda wa kuiba sa8 yan -musipark- ucku nashindwa,nlipofka fm4 watu walitegemea ntakuwa hoi bt nkala One ya 14 na hajabu nlipata A ya kiswahili na A ya english,mara ya mwisho A ya kiswahili pale ilikuwapo enz za chama kimoja. Nlipokuja adv.nkaangukia pua II ya 11,ila chuo nkala 4.0 GPA . Namshukuru Mungu maisha ya uhasibu yananoga by now!

Kwa jinsi nilivyokuwa na allergy na namba......dah...hadi nakuonea wivu aisee!!
 
Umenikumbusha Ma-warsaw! watoto walikuwa wanahusika sana hawa!
Mawese nayo yalikuwa yanasaidia sana

Rejao na wewe m-boyzia?kwa iyo afande chacha na mwendo wa pole anahusika?zambalau na purukushani za oneleg je?huwez amini mama watoto wangu amesoma TABORA GIRLS...wakat mi nkiwa form6 TABORA BOYS ye alikuwa form3...2liendelea na sasa 2mefunga ndoa na watoto wawili..and we enjoy the life!
 
Rejao na wewe m-boyzia?kwa iyo afande chacha na mwendo wa pole anahusika?zambalau na purukushani za oneleg je?huwez amini mama watoto wangu amesoma TABORA GIRLS...wakat mi nkiwa form6 TABORA BOYS ye alikuwa form3...2liendelea na sasa 2mefunga ndoa na watoto wawili..and we enjoy the life!
Mimi nilipiga pale mkuu!
Hongera sana kwa kuopoa Mgelzia!
Ukitaka kufahamu waboyzia wengine hapa JF fuatilia huu uzi hapa

https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/160127-waboyzia-waliosoma-tabora-boys-tangazo-maalum.html
 
Kitei cha ilboru kilinipa 1.7 O level, 1.3 A-Level, First class chuo. Kote ni 90's

japo muweka uzi kazuia kusifia.....nimeshindwa kujizuia............YOU ARE SO BRIGHT I SEE.....Hope you kids are like parent...is dis so?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom