Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

Seven points Shaaban Robert, 1987. Kupata division one ilikuwa a really big deal enzi hizo. Which goes to show kwamba, mitihani ya enzi zile ilikuwa migumu zaidi ukilinganisha na hii ya sasa.
 
Ahahahahaaa Njabu kweli uligonga wani ya pointi 7 au unatupiga fiksi? Ulisoma na Kinje?
 
1987...duh!
 
Ahahahahaaa Njabu kweli uligonga wani ya pointi 7 au unatupiga fiksi? Ulisoma na Kinje?

Kinje alikuwa one year behind my grad class SRSS. Mi enzi zangu nilikuwa bundi wa kweli, tena moto wa kuotea mbali...aminia mkuu!
 
Ila kweli enzi hizo watu walikuwa wanachana sana pepa na ndiyo hicho kilichoipatia sifa shule hadi kupelekea madingi wengi kuamua kuwapeleka hapo watoto wao kuliko kuwapeleka kwenye shule za serikali.
 
Couldn't care less. Kuna walioamaliza Form Four 1976, sasa watu kama hao sijui utawaita nani? Unajua tena, rika langu ndilo last of the old school, wasomi wa kweli enzi zetu (ingawa Remmy Ongala na Bongo Beats, "Thriller" by Michael Jackson, breakdance, na technology kama VHS video na Music Cassette Players, etc ndivyo villivuma sana wakati huo), kabla ya "globalization and the insurge of satellite TV, CDs, DVDs, internet, cell phone and all that trash you have today.
 
Ila kweli enzi hizo watu walikuwa wanachana sana pepa na ndiyo hicho kilichoipatia sifa shule hadi kupelekea madingi wengi kuamua kuwapeleka hapo watoto wao kuliko kuwapeleka kwenye shule za serikali.

Sanasana ni Wahindi tuu ndiyo waliokuwa wanaongoza. Wanafunzi wazawa wengi kwenye shule ile walikuwa ni watoto wa vigogo. You know the drill...
 
Oh yeah..kuna wadosi walikuwa noma aisee.

Watoto wa vigogo...Kinje...Saidi Janguo...:lol::lol:
 
Dah! Kama ni watoto wa vigogo waliosoma SRSS, listi ni ndefu sana mkuu! Kama siyo Shaaban Robert, basi ungewakuta Mzizima. Enzi zangu, Ramji (Mwalimu Mkuu wa SRSS wa sasa, baada ya Koleth enzi zangu), alikuwa mwalimu wangu wa Chemistry. He was a great teacher and disciplinarian, and simply outstanding as an educator.
 
Kitei cha ilboru kilinipa 1.7 O level, 1.3 A-Level, First class chuo. Kote ni 90's
 
Tabora School Advance 1993..na 1.6 full ujeshijeshi afande Chacha master parade,disco kwa Ma-warsaw,tukutuku kuchota maji....Mafinga Seminary '91 na 1.9.....!!!Ibikikititu,mashamba ya Pangot!
 
Umenikumbusha Ma-warsaw! watoto walikuwa wanahusika sana hawa!
Mawese nayo yalikuwa yanasaidia sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom