Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

Kumbe ndo maana thread nyingi za kitoto 2004, 2005, 2007 form IV? Wakati watu tuna miaka 10+ kazini? Welcome to the World watoto
 
Me nlilamba dv 1.13 pale arusha sec mwaka 2006.

mmmmh III.21 kule kwa mama Annae maK mwaka 2002.

Niliweka cha 1 point 15 Singe 2007!

Div 1.17 st marys visiga seminary 2006

A' level
div 1.9 maua seminary

2 point 19 pale Nyakato sec.bukoba 2007, a-level 1 point 9.

2009 ndo nimeua a level kijana,nimepga pale minaki nkatoka na dv 1.7 mwaka huu ndo namalizia kabachelor kangu ka biashara hapa udsm.nadhan ushanisoma?

1:17 ya mwisho pale katoke seminary,mwaka 2007 form six 2:11 rulenge seco.

Div.2 pnt 20, mwaka 20... Pale klerruu sec ... Iringa.

Div 1 pts 12 O'level pale Masonga secondary 2002, Div 1 pts 7 Pale Minaki mwaka 2005(PCM).

o level three ya point 20 penalty ya hesabu pale old moshi 2001 then two ya 10 a level 2004 ilboru
Hii ndio Sample ya wana JF lol!
 
O-level 1991-electrical, One ya pwenti 16, FTC-1995-electrical (hakuna grade) A mbili, B tatu (ikiwemo ya namba) na C moja, BSc Eng-Electrical-2000, GPA 3.5.
 
Mweeeeee!
Kizazi kipya kitupu,
Kumbe humu watu wote wasomi!!!!
Nashukuru hatujiungi kwa kuonesha vyeti mwenzenu ningeisikiaga tu jf lol!
Hongeren wote enzi zetu wavulana tu ndio walikuwa wanapelekwa shule.
 
Kumbe ndo maana thread nyingi za kitoto 2004, 2005, 2007 form IV? Wakati watu tuna miaka 10+ kazini? Welcome to the World watoto
Inawezekana ulipomaliza la saba tu (LY) ukaanza kazi ya ulinzi.......... kwa hiyo wakati wenzio wana miaka minne ya O-level, wewe una minne ya kazini, miwili ya A-level (Jumla sita) wewe una sita ya KK security guard, na mwenzio anamaliza versity kozi ya miaka minne (Jumla 10) wewe una mwaka wa kumi ya kazi uako ya ulinzi na elimu yako ya LY
 
o level three ya point 20 penalty ya hesabu pale old moshi 2001 then two ya 10 a level 2004 ilboru
Nakumbuka miaka hiyo bado ilikuwa sio rahisi kuingia Ilboru au mzumbe ukiwa na hizo pts zako(20), we ulipataje mzee?
Nakumbuka ili upate chance kwa PCM au PCB Uwe na atleast ABB mpaka AAA,yani atleast pts 5. Mimi olevel PCM nilikuwa na pts 5 lakini bado nikakosa nikatupwa Minaki.
 
Iliboru kupata PCM au PCB miaka yetu ilikuwa ni lazima uwe na AAA kwa PCM na atmost AAB kwa PCB
 
Inawezekana ulipomaliza la saba tu (LY) ukaanza kazi ya ulinzi.......... kwa hiyo wakati wenzio wana miaka minne ya O-level, wewe una minne ya kazini, miwili ya A-level (Jumla sita) wewe una sita ya KK security guard, na mwenzio anamaliza versity kozi ya miaka minne (Jumla 10) wewe una mwaka wa kumi ya kazi uako ya ulinzi na elimu yako ya LY

Ha ha ha ha umenichekesha kweli kazi ya ulinzi?? Koma kabisa wewe dharau zako pelekea kweni tena unikome kabisa manina zako
 
Dah
kwel humu kumejaa watoto, ila sio mbaya ndo taifa la kesho. ivi nan
anakumbuka ule mtian uliofutwa form 4 ukarudiwa nch nzima?
Ilinikumba hiyo dhahma mwaka 1998 Zanaki Sec. nikaambulia 2.18, A level nilipata 2.11 Mkwawa High School P.C.B.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom