Wadau niaje? Poleni sana kwa masikitiko aliyotuletea mwanahasha binti jk, naona wadau wameguswa sana na matokeo ya madogo kwamba hawasomi, hebu tuseme ukweli wa mungu wana jamvi kila mtu enzi zake alipata vipi? Angalizo useme ukweli wako as hakuna kuchekana wala kupongezana humu tumeshazeeka tunachoangalia ni real life,
Tukianza na mkata kiu enzi zangu niliambulia div 2 pts 19 pale feza boys mwaka 2004
Nashukuru kukutambua ofisi-mate,me bado nipo mtaa wa kongo kuna wamama walikuwa wanauza ubwabwa katika mazingira ya ajabu ndo tupo tunabagein hapa baada ya kushikilia kwa mda wa masaa mawili masufuria yao.vita ni vita murah!
Kweli kabisa!!Iliboru kupata PCM au PCB miaka yetu ilikuwa ni lazima uwe na AAA kwa PCM na atmost AAB kwa PCB
sasa hayo masufuria fanya mpango tuje tufanye biashara kwa bei ya jumla jumla,kanyaga twende murah
Nilianza sekondari ila sikumaliza...
Labda na mimi ningekua naringia I,II au III.
Hope ingekuwa na div I ya point kadhaa
Sawasawa murah tumeshabagein cku imeisha,kwenye kaz me huwa ctaki utani kabisa,nikikamata sufuria la ubwabwa napiga kwanza vganja kadhaa nikishiba naumwaga nakusanya sufuria zangu LOL
Ha ha ha ha umenichekesha kweli kazi ya ulinzi?? Koma kabisa wewe dharau zako pelekea kweni tena unikome kabisa manina zako
2003 nilipiga IV ya 34,sikukata tamaa nikarudia Form3,2005 nikamaliza tena alhamdulilah nikagonga IV ya 32 ambayo imeniwezesha kuajiriwa na halmashauri as MGAMBO WA JIJI
Wadau niaje? Poleni sana kwa masikitiko aliyotuletea mwanahasha binti jk, naona wadau wameguswa sana na matokeo ya madogo kwamba hawasomi, hebu tuseme ukweli wa mungu wana jamvi kila mtu enzi zake alipata vipi? Angalizo useme ukweli wako as hakuna kuchekana wala kupongezana humu tumeshazeeka tunachoangalia ni real life,
Tukianza na mkata kiu enzi zangu niliambulia div 2 pts 19 pale feza boys mwaka 2004
III ya 17
nadhani umeelewa.
Duh! Kumbe JF watoto wengi, inabidi tuwe makini na posts zetu!
Nilianza sekondari ila sikumaliza...
Labda na mimi ningekua naringia I,II au III.
div 3 inaanzia 22 ndugu.
Sinayo hakika kama huyu mtu atarudi (due amendement) ni bora tu arejee ! Mbona sababu ziko bwaaa!
e.g
writin'error !
Overlookin'
missplacen'