Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,472
- 16,177
hizo div. hazitoshi. ni bora mmgeeleza mko wapi kimaisha,
kkwa maana wapo wa div sifuri lakini kimaisha wanapaa si mchezo 🙂
Hilo nalo neno!
Kuna jamaa nilimaliza nae O-level alipata div 4 yeye hakuendelea A-level, lakini sasa ana miliki kampuni 3 na bangaloo kama 4 na magari kama 6.
Lakini mie nipo na house moja na kamkweche kangu pamoja na kupata div 2 yangu.
Ninachotaka kujaribu kuchangia hapa ni kuwa kufauru masomo sio kufauru maisha ingawa elimu ndio njia sahihi na rahisi kuyamudu.