Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Note above : Katika uzi huuhuu ame'contribute 1976 Elborou Sec. Ndiyo amemaliza O level ! Basi atakua anaitia Nzi Thread.
Ebo! Nzi nimeingiaje hapa?!
Note above : Katika uzi huuhuu ame'contribute 1976 Elborou Sec. Ndiyo amemaliza O level ! Basi atakua anaitia Nzi Thread.
alipigwa penati huyudiv 3 inaanzia 22 ndugu.
Hv silabaus yenu ya kibongo division huwa mnahesabuje? Si wengine tumesoma cabrige.
Nilianza sekondari ila sikumaliza...
Labda na mimi ningekua naringia I,II au III.
Na T maganga uliondoka na ngapi?loh! mods kumbe hata jina la shule yangu o'level nalo ni tusi? MA.GA.MBA SEKONDARI ipo lushoto, alisoma pia marehemu JOHN GARANG wa sudan.
marhaba,
hongera na pole maana nyie ndo mlorudia pepa
kipindi hicho nilikuwa bado nafundisha.
Na T maganga uliondoka na ngapi?
kwa wanyamapori nilitoka na II, zuena na mamamingoi ndo walipunguza matokeo yangu, teh teh teh!
Watoto mmeamkaje leo,kumbe ndio maana thread nyng za kitoto kweli jf imeingiliwa..yaan form iv.2007 upo humu?
Ha ha ha ha umenichekesha kweli kazi ya ulinzi?? Koma kabisa wewe dharau zako pelekea kweni tena unikome kabisa manina zako
we acha hizo
Hivi umeshamaliza Phd yako?
Kumbe wengi huku ni wagia, mabazoka,