Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

Duh mbona wengi ni wa 2006 to 2009
Maana wengine huku miaka hiyo tushamaliza vyuo tayari
O level 1 ya 9 pale Jitegemee na A level 1 ya 7 pale KANTALAMBA SECONDARY.
d
 
hujawahi kuwaa studenti wangu kweli wewe??

Duh, ngoja nitafakari ila sitasema jina lako la kweli

Duh mbona wengi ni wa 2006 to 2009
Maana wengine huku miaka hiyo tushamaliza vyuo tayari
O level 1 ya 9 pale Jitegemee na A level 1 ya 7 pale KANTALAMBA SECONDARY.
d
 
he he he, ninam-date fang na max siku hizi
niko kwenye ban free zone.
Ngoja niwe na urafiki na RR anaweza kunisaidia aise maana naona hapa haki haitatendeka
Jitegemee nilikuwa pale 1996 na Kamtalamba ni 1999
 
Wewe SENATOR uongo utaacha lini kwenye post nyingine kule umesema umemaliza 2009 mara huku 2006 so which is which kijana?

2009 ndo nimeua a level kijana,nimepga pale minaki nkatoka na dv 1.7 mwaka huu ndo namalizia kabachelor kangu ka biashara hapa udsm.nadhan ushanisoma?
 
nlisoma kayumba same sec nkala zero nkaresit nkaenda advance nkala one point 4 nkaenda udsm law nw ni moja ya mawakili watabe mjini hapa
 
2009 ndo nimeua a level kijana,nimepga pale minaki nkatoka na dv 1.7 mwaka huu ndo namalizia kabachelor kangu ka biashara hapa udsm.
Duh kumbe bado kachalii aise
Nitakuwa nakujibu kichalii aise maana bado ni kijana
 
Duh! Kumbe JF watoto wengi, inabidi tuwe makini na posts zetu!
Rejao umeona eehh
Inabidi kuwa makini sana kwenye kujibu
Hapa nimemuona mmoja tuu yule wa Ilboru 1976
Wengine ni 2006 mpaka 2009 eti ndo wanamaliza form six
Duh hapa tuwe makini sana
 
nlisoma kayumba same sec nkala zero nkaresit nkaenda advance nkala one point 4 nkaenda udsm law nw ni moja ya mawakili watabe mjini hapa

Yaani upate zero then uende A level kwa marks gani sasa
Au unatumia jina na cheti cha mtu hapo kusomea hiyo degree yako
Wakili mla rushwa tuu hakuna kubobea wala nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom