Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

Enzi zako ulipata div ngapi ? Sema ukweli

1:17 ya mwisho pale katoke seminary,mwaka 2007 form six 2:11 rulenge seco.
 
Dah kwel humu kumejaa watoto, ila sio mbaya ndo taifa la kesho. ivi nan anakumbuka ule mtian uliofutwa form 4 ukarudiwa nch nzima?
 
Duh! Kumbe JF watoto wengi, inabidi tuwe makini na posts zetu!

umeshaanza mambo yako! Hapo juu kuna wa 1976 naye hujumuona.hacha kudharau baba na mama zako.weka matokeo kama huna nenda jukwaa la siasa nakuja.
 
Yaani upate zero then uende A level kwa marks gani sasa
Au unatumia jina na cheti cha mtu hapo kusomea hiyo degree yako
Wakili mla rushwa tuu hakuna kubobea wala nini

ata mimi napata kigugumizi,ila kwa mungu yote yanawezekana.
 
Nilipata 2 ya 20 mwaka 1992 pale Tanga Tech na baada ya hapo FTC Dsm Tech College sasa DIT
 
Sikumbuki but what I know I went through to the university level. Kwani kwanini sijui nobody knows
 
Aise uuchune usije ukasema jina hapa
Nitakuombea ban ya milele kwa Paw

Na wewe student pia chuna ! Usije announce jina la ticha wako ! Chunianeni ! Mwl Bandama nimefundishanae pale shule ile, karibu na round about .
 
Mbona cjaona alyepata foo ka ya mwanaasha?
 
napendekeza pia watu wa spesho skuli wafunguke wani zao..nawakubali sana nyie jamaa wa spesho.
 
Watoto mmeamkaje leo,kumbe ndio maana thread nyng za kitoto kweli jf imeingiliwa..yaan form iv.2007 upo humu?
 
sisi tuliosoma unguja tulikuwa na kazi nzito sana kunyanyua mitihani ya necta. Ila nashukuru tulitoka. wangekuwa na necta yao naona ningewaongoza wapemba wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom