Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

wanawake bana....wameacha vijana wamejiharibuuuu weeeee....now wanafyekelea hukooo......ila wengi ni chakula..sijui why....
 
Hahahahaaa mbona mmechelewa sana kusema jaman nyie wadada,,,,,yani mmengoja watoto Wa watu wameharibika chaaa wakijua mnapenda afu sa HV ndo mnajifanya hampendi....sio vizuri Dada zangu
hahaha hatari sana
 
Mwanamke anavutiwa na mwanamme mwenye PESA
Haya mengine ni porojo tu!
Mwanamme pia anavutiwa zaidi na mwanamke ambaye ana kipato chake
Haya mengine sijui msambwanda ni nyongeza tu
Msambwanda wenyewe hauta noga kama kila siku ni mizinga
 
Hivi kuhudumia mwanamke si ni jukumu la mwanaume au?

Kuna andiko lolote unaweza nukuru hapa kuthibitisha hilo kama mwanamme lzm amhudumie mwanamke?
Mm mwaka wa 7 sasa mke wangu ndiyo anaihudumia
Mm ni Mario,kazi yangu ni kumpa watoto tu
Tunao wanne na wa tano yupo njiani
 
Mwanaume mwenye mwili wa kibaba wakati wa mnjunjuano uwe juu yake yani ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]. Aisee hebu nimwambie mzee mwenzangu leo tukumbushie ujana,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mnavyowahangaisha wanawake kuongeza makalio na matiti wakidhani mnapenda na ninyi hangaikeni hivyo hivyo kuongeza sehemu za siri na vifua mkidhani wanapenda yaani ni mwendo wa kuhangaishana hadi kieleweke si mnataka kuishi ili kufurahisha kila mtu endeleeni[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Utaniua mbavu zangu mimi
 
Kuna andiko lolote unaweza nukuru hapa kuthibitisha hilo kama mwanamme lzm amhudumie mwanamke?
Mm mwaka wa 7 sasa mke wangu ndiyo anaihudumia
Mm ni Mario,kazi yangu ni kumpa watoto tu
Tunao wanne na wa tano yupo njiani
Na unajiona mzima kabisa kwenye ubongo wako? Hongera.
 
Mwanamke akimtegemea Mwanamme ndiyo anakuwa na akili timamu?
Ndiyo kwa sababu ni jukumu lako kutafuta pesa na kuhudumia familia kama ambavyo yeye ni jukumu lake kufanya kazi za ndani na kulea familia sasa kama mkeo anatafuta pesa na kuhudumia familia halafu bado anafanya kazi za ndani na kulea familia wewe hapo unafanya nini?

Usiniambie eti unazalisha maana hata mwanamke naye anazaa nauliza wewe hapo unafanya jukumu gani? Mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho lake ila mwanamke hakuambiwa hivyo yeye aliambiwa atazaa kwa uchungu hivyo basi mwanamke kula kwa jasho lake ni hiyari ila mwanaume kula kwa jasho lako ni lazima usijifanye haujui maandiko
 
yaani nafikiria kupunguza huu mwili japo sio mnene sana alafu mnaleta habari izo
 
Back
Top Bottom