Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

H[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mazoezi kwa afya
 
ukiuangia huo utafit kwa jicho la kipembuzi na ufukunyuzi utagundua ulifanywa na matipwa tipwa ili kuaribu soko la watu mwenye matumbo ya miraba sita​
 
Waanovutiwa na wanaume wenye six packs most of them ni teenage,lakini ukishaanza kufikia miaka 25 na kuendelea ndio hao wanavutiwa na wenye vitambi...
 
Kwahiyo kuhusu Diamond unasemaje...?
Kwani Diamond ni nani? Tena mimi hakuna mwanaume ninayemuona limbukeni Tanzania hii kama Diamond pamoja na umaarufu wake na hata wanawake wengi wanakuwa hawampendei mapenzi ya kweli wala mwili wake bali pesa zake na umaarufu wake

Wanawake wengi wameshajua kuwa yule ni malaya kwahiyo wanajipeleka kwake kwa sababu ya kupata pesa na umaarufu tu na hata Diamond naye ameshalijua hilo ndo maana wengi anawapitia tu halafu anawaacha
 
Bora umenisemea [emoji8] ubarikiwe.
 
Haya bana nadhani wenyewe watakuwa wamekusikia,kumbe wanafuata pesa yake,mi nikajua labda jamaa na ma six packs yake ni fundi sana...!
 
Sijui kama ni fundi ila hata kama ni fundi sidhani kama wanampendea ufundi wake nimekumbuka kuna siku Diamond Platnumz alipost video clip kwenye instagram yake anakata viuno kwa stage kwenye caption akawa anajisifia kuwa wadada wanapenda viuno vyake katika kupitia comments za watu nikakuta Jacqueline Wolper kamjibu kuwa mwanaume pesa viuno peleka kibaokatani aise lile jibu lilinichekesha hadi leo silisahau
 
Fanya mazoezi kwa afya yako binafsi....! Kuwa na mwili wa kiume....! Usiende gym ili uvutie wanawake
 
Back
Top Bottom