Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,594
- 126,179
UnawadanganyaWewe unafikiria vipi....?
UnawadanganyaWewe unafikiria vipi....?
Unawadanganya
Unataka nitupie picha yako?Ukweli upi sasa ikiwa nadanganya...?
Unataka nitupie picha yako?
Maumbo ya kibaba ndiyo yepi mkuu , huenda nami nikaokota mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]Pesa,pesa
Halafu wenye maumbo ya kibaba wengi wana pesa.
Maumbo ya kibaba ndiyo yepi mkuu , huenda nami nikaokota mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Maswali gani hayo kwani nilichoka kiandika hakiekeweki mkuu au ndiyo kipigo toka Senegal kina lewesha?Wewe ni Me au Ke?
Kila familia ina mipngo yake bana!Ndiyo kwa sababu ni jukumu lako kutafuta pesa na kuhudumia familia kama ambavyo yeye ni jukumu lake kufanya kazi za ndani na kulea familia sasa kama mkeo anatafuta pesa na kuhudumia familia halafu bado anafanya kazi za ndani na kulea familia wewe hapo unafanya nini?
Usiniambie eti unazalisha maana hata mwanamke naye anazaa nauliza wewe hapo unafanya jukumu gani? Mwanaume aliambiwa atakula kwa jasho lake ila mwanamke hakuambiwa hivyo yeye aliambiwa atazaa kwa uchungu hivyo basi mwanamke kula kwa jasho lake ni hiyari ila mwanaume kula kwa jasho lako ni lazima usijifanye haujui maandiko
Nimekuuliza kazi za nyumbani kama kupika kufua kuosha vyombo kusafisha nyumba huwa anafanya nani?Kila familia ina mipngo yake bana!
Mm wife ndiyo anafanya kazi,mm na drop hawa watatu wakubwa shule na kwenda kuwachukua jioni
Nakaa na huyu mtoto namlea mwanangu
Ijumaa jioni na weekends ndiyo napata muda wa kwenda hata kuangalia mpira na wenzangu!
Mbona wife hajawahi kulalamika mwaka wa 13 sasa na ndoa yetu ina furaha sana?
Hela ya bia weekends nachukua kadi ya wife na wala huwa haniulizi kwa nn umetumia nyingi
Haahaaaahaaaaa...Nimekuuliza kazi za nyumbani kama kupika kufua kuosha vyombo kusafisha nyumba huwa anafanya nani?
Wewe tunaendanaIla kweli mwanaume mamisuli kama ng'ombe hapana kwakweli lkn kwa utafiti wangu me najua wanawake wenye maumbo makubwa au wenye makalio makubwa huwapenda wanaume ma giant ila sisi vimbaumbau tunapenda vimbaumbau wenzetu....me binfsi mwanaume awe na kamwili kadogo kama mm tu ndo navutiwa nae ila men ka pipa hell no!!!!
Mi napenda wembamba kama kijitiIla kweli mwanaume mamisuli kama ng'ombe hapana kwakweli lkn kwa utafiti wangu me najua wanawake wenye maumbo makubwa au wenye makalio makubwa huwapenda wanaume ma giant ila sisi vimbaumbau tunapenda vimbaumbau wenzetu....me binfsi mwanaume awe na kamwili kadogo kama mm tu ndo navutiwa nae ila men ka pipa hell no!!!!
Haahaaaahaaaaa...
Mkuu umemkomalia mdau ila nahisi jamaa itakuwa yeye ndio baba wa nyumbani halafu wife ndio msaka mkate.
Naona ndivyo makubaliano yao kama familia.
Kuna madada wawili wa kazi!Nimekuuliza kazi za nyumbani kama kupika kufua kuosha vyombo kusafisha nyumba huwa anafanya nani?
ha ha ha ha Yani hadi unA enjoy KUSOMA replies....ila ki ukweli Nimevunjika sana moyo kuona kila mdada humu eti hana shobo na six pack anyway acha nimalizie hela yangu ya Gym maana siwezi acha na nshalipia ada ya mwezi mzima.Hahaha leo tusio na six packs tunajisikiaje vizuri[emoji3][emoji3]
eti asiwe mkubwaaaa 😂 😂 😂Awe Mkaka tu wa kawaida Kifua kiasi,ila Hayo mamisuli kama anataka kupasuka mmh hapanaa, pia asiwe Mkubwaaa(mbaba)
😂 😂 😂Mnhh...
Hivi nyie wanawake tuwaeleweje!?
Ni nyinyi kweli au ID zenu mmeazimisha!?
mhh labda ulokutana nae ndo yupo hivyoSix pack wengi ni mashoga