Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

Hapana sipendi kitambi wala mapingili[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nishakujua weyeeee unapenda kupapasa kitambi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
duu nimefarijika manake sina six pack kumbe nakubalika mjini
 
Ngoja nije PM Mimi ni kimbaumbau mwenzako
Ila kweli mwanaume mamisuli kama ng'ombe hapana kwakweli lkn kwa utafiti wangu me najua wanawake wenye maumbo makubwa au wenye makalio makubwa huwapenda wanaume ma giant ila sisi vimbaumbau tunapenda vimbaumbau wenzetu....me binfsi mwanaume awe na kamwili kadogo kama mm tu ndo navutiwa nae ila men ka pipa hell no!!!!
 
ha ha ha six pack iendane na mshiko;Pack bila mshiko ni ugonjwa...binti mzuri na mrembo anatakiwa atatuliwe changamoto alizo nazo,mfano kama hana gari anunuliwe gari,hana nyumba anunuliwe/ajengewe nyumba n.k
Kumbe siku hizi mnapenda kuwekwa vimada kuolewa hamtaki? Wapi maadali
 
Back
Top Bottom