Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

Mwanaume hata awe na shepu kama turbo au wabogojo akiwa mtafutaji tu kwisha habari yetu
 
Mwanamke hapendi shida na shida zinatatuliwa na pesa. Wanaume wachache sana wenye pesa wakapata na muda wa kutengeneza six packs.
 
Daah,watu mmewaangukia watu wenye six packs kama vile ni wote hawana fedha.

Six pack si mfumo wa maisha tu na mazoezi kidogo.

Infact hivi vitu ni vya wazungu tu,wanawake wengi wa Kiafrica sio mambo yao.
 
Back
Top Bottom