Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

Wenya machai jaba , usiku huwa tunakoroma kama gari bovu la kwenda Kishimundu.
Mm najua wanaokoroma wenye miili minene,
Ndio nasikia kwako kama wenye chai jaba nao wanakoroma si kawaida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom