Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

Enyi Wanawake, Hivi hili lina ukweli?

Sasa mnaharibu biashara za watu . Vijana walikuwa wanalala Gym wakitafuta six pack hahaha. Sasa kumbe kitambi changu hiki chenye garden love(Watoto wa Leo sidhani kama wanajua garden love ni nini?) Ntakuwa nakipalilia na kukitunza.
 
Lemutuz akiona hii thread nau hakika harudi insta..tutakesha nae JF mpk thread ipoe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mnavyowahangaisha wanawake kuongeza makalio na matiti wakidhani mnapenda na ninyi hangaikeni hivyo hivyo kuongeza sehemu za siri na vifua mkidhani wanapenda yaani ni mwendo wa kuhangaishana hadi kieleweke si mnataka kuishi ili kufurahisha kila mtu endeleeni[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Duu nimecheka sana "eti ni mwendo wa kuhangaishana tu" visasi sio vizuri aisee.
 
Kuna madada wawili wa kazi!
Lkn weekends wife anapika
Jumamosi na Jumapili nakula mapishi ya wife
Pia nguo zangu na zake anafua wife kila mwisho wa mwezi,hawashiki nguo zetu madada wa kazi
Ndoa yangu ina furaha sana kwa mm kufanya majukumu ya kulea!!
Edelyn weekends hii naomba tukale mishikaki kidogo pale Mliman City,tujuane kidogo!
kama una nafasi lkn
Hebu subiri kwanza twende taratibu kwahiyo wewe hapo nyumbani kazi yako ni kulea watoto tu?
 
Hebu subiri kwanza twende taratibu kwahiyo wewe hapo nyumbani kazi yako ni kulea watoto tu?
Yaa
Kila familia ina mipango yake!
Kuna ubaya gani nikikaa home mwaka wa 13 sasa nalea watoto na mke ndiyo anafanya kazi?
 
Usiniambie na ww hupend wakat mi nimeshalipia gym nategemea kutuma picha pm[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaa, shauri yako na gym yako, utakimbiwa ubaki na mamisuli yako, mwishowe mishipa ipasuke ufeee[emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom