interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Hongera na ww kwa kuwa naye huyo uliyenaye ktk pp yako Chifu
Tuliza mzuka bro utapata tu,
Tuliza mzuka bro utapata tu,
Mkuu huyu vipi ni muhumini wa mtumishi AskofuView attachment 1092357
Mkuu
Don't trust any woman you see kwenye daladala,sijui Mlimani City,sijui sokoni,sijui kanisani,sijui barabarani...
Ni too much of a risk mzee...
Easiest and safe ni uulizie kijiijini/mkoa unaotoka wakupe actual referrals!
Kwanini referrals zilizotoka kwenu ni more appropriate ni kwasababu hao wasichana unaopewa referral wanawajua tangu wakiwa wadogo na wanajua walipo now na wanafanya nini na walikua wana behave vipi wakiwa wadogo!
Kuna probability ya wakengeukaji ila ukichukua sample ya 10 girls,utapata mmoja hapo ambae ni perfect fit!
Don't trust any woman in Dar es Salaam unaemuona tu hivi!
Aiseee kuwa makini sana mkuu katika hiyo sekta.
Unamuona mwenzio gwajima na skendo zake zote bado anatetewa na mkewe,si umemuona mkewe alivyokuwa na msimamo thaibiti Ndugu?
Alafu chonde chonde usiyafite mke wakati una genye zimekupanda,kila mke utamuona mzuri sana kwa sababu ya tamaa za mwili.
Mke ambae unaweza kudumu nae ni yule ambae ukimuona tu yanakujia mawqzo ya kumuoa zaidi ya kufanya nae mapenzi tu.maana yake ni kwamba kuna wanawake ukiwatazama tu mavazi yao basi wanakuvutia upate hamu ya kuzini nao.sasa mke akiwa hivyo tahadhari sana.
Nakumbuka wakati nipo kijana nasoma kabla sijaoa kulikuwa na dada falani anavaa hijabu vizuri sana ikawa namzimia sana kwa kweli mpaka nikimuona napata picha ameshakuwa mke wangu tayari na tunaishi vizuri sana,lakini kuna wadada wengine nikiwaona nawaza uchafu tu moja kwa moja.sasa wewe angalia sana sana sana.
Alafu angalia dini yako mkuu,kama ni mkristo basi pahala safi pa kupata mke ni kanisani.sasa kanisani NAKO UCHAGUE,SIO KWA KUWA NI KANISA BASI UNACHUKUA YEYOTE.utajuta na kuleta uzi hapa.kuwa makini kanisani uangalie na kuwashirikisha wazoefu wa sehemu hiyo.
Lakini pia naomba kama una mama basi mtumie kumuulizia akutafutie binti mwenye tabia njema sana anayemjua,wanamama wanajuana sana mtaani wanajua kabisa kwamba nyumba flani yule binti ametulia au hajatulia.kwa hiyo wanajua sehemu sahihi.
Alafu badala ya hapo sasa umwambie akutafutie mke,mama hawezi kukuimgiza chaka hata siku moja,ataeatumia wenzie wamtafutiee nyumba gni kuna binti mzuri.
Akipatikana unawaambie wasiambiwe hapo kwa binti kama una lengo fulani,wewe ufanye mipango kumuona huyo binti na kumtafakari nama alivyo,huku na wewe ukiulizia wadau mbali mbali juu ya mwenendo wake,ukiona umempenda namna alivyo na tabia ziko fressh basi hapo anza kutupa ndoana na kupeleka taarifa rasmi kwa huyo dada mdogo mdogo ili naye tuone kama atakuwa amekukubali.
Ila tu mkuu...
Ukitaka mke mwema basi kuwa wewe mwema kwanza.anza kutengenea mda huu tulie na kutuliza akili sio useme utatulia ukioowa shauri yako
Kupata Mke nadhani pia ni fumbo maana mapenzi huota popote...!! kuna siku nilienda tanga kwa ishu flani wakati wa Usiku nikaenda Club inaitwa chichi nikakuta wadada wanajiuza na mmoja nikamkariri... Kesho yake tulikuwa maeneo flani aisee nikamuona manzi yule yule kavaa Ushingi safii na nguo ndefu alikuwa ananunua vitu duka pale Sokoni ngamiani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Hapo ndo nkapata mke ni fumbo... Wengine huku chuo wanalala room kwa wanaume miezii kama wameolewa...
Mmoja mpe jamaa basiKikubwa sala ni mhimu zaidi, mwenzako ninao wawili natafuta namna ya kuamuacha mmoja sijajua..
Ahahah haaa Dah mkuu hii ni Diss liveYaani wewe inaonekana unaangalia Matako
Sasa Mbeya sindio imejaa waifu matirio mkuu unakosaje mama au unataka mke mweupe?Nashukuru kwa huu uzi mana Leo tu nimetoka kupigiwa simu na mzee mwanjisi ananiuliza naoa lini mana umri umeenda anahitaji kushuhudia harusi yang. ...sasa kaka mkubwa hata mwanamke sina
behavesUkitaka mke mzuri mwangalie tabia za Mama wa Mke unae muoa,
Before ya mke wangu, nilikuwa na Binti mmoja tukienda kula tunaagiza Sato wawili na tulipo bakisha haangaiki kuomba afungiwe na mbaya zaidi alikuwa anaagiza vitu vyenye bei harafu vinamshinda.
Oohoo Mungu wangu... Nakumbuka first time nipo out na huyu ambae ni Mke wangu.. Alisema tuagize Sato mmoja na chip's Mbili... Na tulibakisha kwa sababu stori zilichukua nafasi kubwa.. Aliomba afungiwe kisha akaniambia chukua ukifika Home utakula... Nilimuona huyu vipi aoni noma hii sehemu tulivu hivi harafu mambo ya kufunga funga.. Ilikuwa saa nne usiku.
Nilivyo fika home nikavuta bangi kisha ndio nikazama kwenye tathimini juu yake... Ganja inaisha kichwani saa nane usiku njaa ya hatari.... Nikakumbuka ooohoo I have something. Mke mwema utamjua kwa Matendo na tabia zake.
Life is a mystery. While one person is struggling to find a partner, another one is in four stable relationships.....
Kuna watu wana struggle sana kupata wanawake sahihi na wana rasilimali zote. Sie wengine ambao makapuku ndio dah wanawake hawasumbui kabisa na wife material ndio nakutana nao kwa wingi kuliko disposable materialLife is a mystery. While one person is struggling to find a partner, another one is in four stable relationships.....
Wanawake wa Dar mi huwa siwaamini...bora import wa mikoani tu! Wa bongo wengi disposableMkuu
Don't trust any woman you see kwenye daladala,sijui Mlimani City,sijui sokoni,sijui kanisani,sijui barabarani...
Ni too much of a risk mzee...
Easiest and safe ni uulizie kijiijini/mkoa unaotoka wakupe actual referrals!
Kwanini referrals zilizotoka kwenu ni more appropriate ni kwasababu hao wasichana unaopewa referral wanawajua tangu wakiwa wadogo na wanajua walipo now na wanafanya nini na walikua wana behave vipi wakiwa wadogo!
Kuna probability ya wakengeukaji ila ukichukua sample ya 10 girls,utapata mmoja hapo ambae ni perfect fit!
Don't trust any woman in Dar es Salaam unaemuona tu hivi!
Wanawake wa Dar mi huwa situmii...na import wa mikoani tu! Wa bongo wengi disposable
Hahaha aisee kweli roho ngumu...wanawake wa Dsm wana sura mbili mbili kama vinyonga. Ukawilii kupatikana😂😂😂 mtoto anakusokota ukikaa tu subiria kilioMkuu
Kuna watu wana roho ngumu kama jiwe,anakutana na demu Kariakoo tu mwezi ujao anaoa!
Aisee!
Hatari sana!
Bongo pagumu sana kiukweli mkoani ndio kimbilioWanawake wa Dar mi huwa siwaamini...bora import wa mikoani tu! Wa bongo wengi disposable
Yeah kama unapiga trip za mikoani sana unaweza pata mwanamke wa kweliBongo pagumu sana kiukweli mkoani ndio kimbilio
Njoo nikupe waifu matirial mmoja sema nishakula mimi mwenyewe kwanza. Nakuachia wewe mimi nimeshaoa!