King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,001
- 677
HahahaahahahaahhahahaahaaaaaaaaHongera na ww kwa kuwa naye huyo uliyenaye ktk pp yako Chifu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaahahahaahhahahaahaaaaaaaaHongera na ww kwa kuwa naye huyo uliyenaye ktk pp yako Chifu
tatizo mkuu muda wote nipo jiji la watu ko kushuke kule ngumu. ...haraf kwetu hata hawakataagi ukiwaambia nimetoka darSasa Mbeya sindio imejaa waifu matirio mkuu unakosaje mama au unataka mke mweupe?
Jangalason!Umenikumbusha ule wimbo wa,"Mke si nguo apatikane sokoni, wala sio kitunguu apatikane gengeni nasema" 😀 😀
Mkuu mshirikishe Mungu.Ishi kama ulivyo bila maigizo na usisite kumwambia mtu yeyote unayedhani anakufaa/mnaendana(unayeweza kubeba mapungufu yake).
Hivi mhenga anaanzia umri gani?Jangalason!
Wewe ni mhenga!
😂😂😂😂😂😂tatizo mkuu muda wote nipo jiji la watu ko kushuke kule ngumu. ...haraf kwetu hata hawakataagi ukiwaambia nimetoka dar
Kuna watu wana struggle sana kupata wanawake sahihi na wana rasilimali zote. Sie wengine ambao makapuku ndio dah wanawake hawasumbui kabisa na wife material ndio nakutana nao kwa wingi kuliko disposable material



mweeWanawake wa Dar mi huwa siwaamini...bora import wa mikoani tu! Wa bongo wengi disposable
Sasa Mbeya sindio imejaa waifu matirio mkuu unakosaje mama au unataka mke mweupe?
Karibu sana mrembomwee
😀ata weupe wapo alafu
Dah!Kwenye huu uzi hata ambaye muda huu anapigiwa mke nae anatoa ushauri wa kupata mke bora.
Karibu sana mrembo
Hahah we penda kuongea nao tu utawajua vizuri wanaofaakwakweli mwenyewe natamani sana kuoa lakin sijui nafanyaje maana hata niliyemtegemea kanizingua jamn tusaidien tunapataje mke bora sisi ambao bado maana mpk mitandaon humu jf natafuta lkn akuna hata anaejib
Mods hawataki ukabila....Hahah we penda kuongea nao tu utawajua vizuri wanaofaa
Hahaha wameufuta ghafla, kuna mods mchaga wa maranguMods hawataki ukabila....
Ule uzi uko wapi?!
Hahaha hahaha hahahaHahaha wameufuta ghafla, kuna mods mchaga wa marangu
Hahahah wameputa naoooooMods hawataki ukabila....
Ule uzi uko wapi?!
Tunautaka uzi wetuuu. Hajapenda sisi warombo kuwapiga knock outHahaha wameufuta ghafla, kuna mods mchaga wa marangu


DaaahHahahah wameputa naooooo