Enyi mliooa, mlipataje wake?

DissDotCom

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
395
268
Habari wakuu.

Poleni sana kwa majukumu, Hoja yangu ni kwamba imefika wakati nataka kuoa sasa, ila sasa imebidi niulize kwa mliooa. Mmepataje wake wakuoa? Maana toka nipate wazo la kuoa nimekua nazurula sana maeneo mbalimbali nikiamini nitakutana na anayenifaa, hii hali imenifanya hata nikiwa nyumba ya ibada nisiwe makini na ibada bali nakagua mke, hata nikiwa kwenye daladala yaani akipanda Dada nakuwa makini sana nikiamini labda ndo huyu..!
MSAADA WENU TAFADHARI...
 
Sali ndugu atakupa wako pia make anahitaji maandalizi usikurupuke update muda was kumfaham vizuri
 
Habari wakuu.

Poleni sana kwa majukumu, Hoja yangu ni kwamba imefika wakati nataka kuoa sasa, ila sasa imebidi niulize kwa mliooa. Mmepataje wake wakuoa? Maana toka nipate wazo la kuoa nimekua nazurula sana maeneo mbalimbali nikiamini nitakutana na anayenifaa, hii hali imenifanya hata nikiwa nyumba ya ibada nisiwe makini na ibada bali nakagua mke, hata nikiwa kwenye daladala yaani akipanda Dada nakuwa makini sana nikiamini labda ndo huyu..!
MSAADA WENU TAFADHARI...
Dah kwakweli wewe mjamaa umenichekesha sana kwa kweli.

Ungetoa maelezo kidogo uwa ukikutano nao unaanzisha urafiki?
 
Mke hatafutwi hivyo kama unatafuta hela!
Cha msingi wewe una sifa na vigezo na sifa za mtu unayetaka awe mke wako. Kwa hiyo huna haja ya kumwangalia kila mwanamke anayepita machoni pako,na kumfanyia usaili.....umakini wako uwe kwenye vigezo vyako...then endelea na maisha ya kawaida.
Utakuja kushangaa unakutana na mwanamke ambaye hata hukuwa na hayo mawazo ya mke...then kuna kitu kitawaka moyoni mwako na kukuambia "this is her"
Na ukigeukia terms and conditions zako utakuta amekidhi kila kitu.
Acha kutafuta mke kama shilingi Mia iliyopotea mchangani mkuu!
 
Habari wakuu.

Poleni sana kwa majukumu, Hoja yangu ni kwamba imefika wakati nataka kuoa sasa, ila sasa imebidi niulize kwa mliooa. Mmepataje wake wakuoa? Maana toka nipate wazo la kuoa nimekua nazurula sana maeneo mbalimbali nikiamini nitakutana na anayenifaa, hii hali imenifanya hata nikiwa nyumba ya ibada nisiwe makini na ibada bali nakagua mke, hata nikiwa kwenye daladala yaani akipanda Dada nakuwa makini sana nikiamini labda ndo huyu..!
MSAADA WENU TAFADHARI...
Mshirikisho mungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom