Enyi mliooa, mlipataje wake?

Enyi mliooa, mlipataje wake?

[emoji23][emoji23]pole kumbe mpo group moja aiseee nawapa saluti kwa ubahili huyu mzee ananiringishia account yake kila siku lkn hakupi ata shiling kumi
Hahahaha, bado hajakupa ATM card yake tu, huwa tunawapa wake zetu wakae na card zetu za bank. Kuwa mvumilivu kidogo...
 
Kupata Mke nadhani pia ni fumbo maana mapenzi huota popote...!! kuna siku nilienda tanga kwa ishu flani wakati wa Usiku nikaenda Club inaitwa chichi nikakuta wadada wanajiuza na mmoja nikamkariri... Kesho yake tulikuwa maeneo flani aisee nikamuona manzi yule yule kavaa Ushingi safii na nguo ndefu alikuwa ananunua vitu duka pale Sokoni ngamiani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Hapo ndo nkapata mke ni fumbo... Wengine huku chuo wanalala room kwa wanaume miezii kama wameolewa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom