Hahaha kuna makosa mbona kule kwenu hawafanyi hivyo?! Nimeona USbank, Chase bank, welsfargo bank, Bank of America, hawaandinki usbank bank, wala bank of texas bank... mtusaidie watumie kiswahili haya ma vizungu yanatutatiza sana.Hahahaaa.
Mimi mbona sioni tatizo lolote hapo.
Ni mambo tu ya kibiashara na utambulisho hayo.