English Grammar: Benki ya Posta Tanzania ni TPB Bank au TPBank? Ni sahihi kwa neno "bank" kutumika mara mbili?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,085
2,000
Hapa unaweza kuwa na point basi waiite Nyani Ngabu tu halafu wafanye marketing ya brand hiyo kuujulisha umma kwamba ni bank ya posta. Lakini binafsi naona mleta mada ana point, wamekosea.
Obsessed with my name huh? Be careful.

Baada ya maelezo kutolewa, sioni tatizo la TPB Bank!
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,502
2,000
Obsessed with my name huh? Be careful.

Baada ya maelezo kutolewa, sioni tatizo la TPB Bank!
Suala si wewe kuona tatizo, that is a subjective matter.

You are not addressing the central issue in the branding.

What does TPB in TPB Bank stand for?
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,502
2,000
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa, haisimami badala ya chochote. Jina zima ni TPB.

Kama ilivyo kwa ESPN ya sasa ambapo hizo herufi ndo jina la network.
Benki yenye jina lisilosimamia chochote inanipa matatizo ya kifalsafa kuiamini.

Hususan kama inatoka kuitwa Tanzania Postal Bank halafu inakuambia TPB haisimamii chochote.

They are trying to eat their cake, and still have it too.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,085
2,000
Suala si wewe kuona tatizo, that is a subjective matter.

You are not addressing the central issue in the branding.

What does TPB in TPB Bank stand for?
I already said it. Per the explanations given, it doesn’t stand for anything.

Why do you think it has to stand for something?

Just like today’s ESPN. ESPN is the name of the network. But in it’s early days, ESPN stood for Entertainment and Sports Programming Network.

Later on they adopted the acronym as the brand name of the network.

So now it’s jist ESPN. That’s the name.

Same for TPB.
 

Mnondwe

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
3,883
2,000
Kusema "Daraja la Selander bridge"ni sahihi kwakuwa jina la daraja ni la kiingerza na siyo kuwa unatafsiri,pia tambua kuwa jina halitafsiriwi.
Jkitaka kumwambia mtu mfano "nenda sokoni na akataka kujua jina la soko, kama soko hilo lina jina la kiingereza kama labda(KARIAKOO MARKET), ninlazima umwambie "nenda soko la KARIAKOO MARKET".

Endapo soko halina jina la kiingerza linaitwa tu KARIAKOO,basi utamwambia nenda ""SOKO LA KARIAKOO"
Shida ni kuwa sisi tunataka kutafsiri jina,wakati jina ni jina tu, halitafsiriwi.

Tunapotafsiri ndiyo tunaleta shida.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,085
2,000
Benki yenye jina lisilosimamia chochote inanipa matatizo ya kifalsafa kuiamini.

Hususan kama inatoka kuitwa Tanzania Postal Bank halafu inakuambia TPB haisimamii chochote.

They are trying to eat their cake, and still have it too.
Well, that’s fine. Just don’t bank there.

But that’s the name. If you don’t like it, fine.

They can call themselves whatever they want.
 

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
1,907
2,000
Sie wabongo ni wabishi kweli kweli. Pamoja na maelezo mazuri ya baadhi ya wachangiaji bado watu wanataka kurefusha hivyo vifupisho.

Nmb bank plc
Crdb bank plc

Tpb bank plc kwa mfano,hizo zote ni registered entity pale brela na zikapata certificate of incorporation kwa majina hayo.

Ingawaje kwa mazoeza na ndipo zilipotokea unaweza endelea kuzitambua kwa kirefu. But not into legal pespective.

National microfinance bank.
Commercial and rural development bank
Tanzania postal bank. Hizi hazipo tena kwenye usajili wa makampuni.

Kuhusu logo kutokuwa na neno bank. Hasa crdb na nmb hizo ni designing tu za kibiashara ambapo huwezi weka maneno yote. (Zipo registered pia as trade mark.)
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,502
2,000
Well, that’s fine. Just don’t bank there.

But that’s the name. If you don’t like it, fine.

They can call themselves whatever they want.
I wouldn't bank there for so many other reasons apart from this, one that some may see as trivial.

Huu si ugonjwa, hii ni dalili ya ugonjwa mkubwa zaidi katika benki za kibongo.

Nakumbuka miaka michache iliyopita Charles Kimei wa CRDB alisema wazi kimsingi anamuogopa sana Magufuli. Yani alisema kwa namna ambayo si tu kiongozi wa benki hatakiwi kusema, bali pia namna ambayo ilimuondolea utu kabisa, yani kauli ambayo mwanamme kuisema inakuondolea uanaume wako mpaka watoto wa kihuni wanaweza kufikiri matusi.

Yani jamaa aliongea kwa total and unmitigated surrender mpaka aibu nikaona mimi.

CEO wa Benki huyo.

Nikaijadili ile kauli hapa, nikasema huyu ni star banker Tanzania. Kauli hii inaonesha Tanzania hakuna banking integrity.

CEO wa Benki kusema wazi anamuogopa Magufuli, maana yake ni kwamba siku Magufuli akiishiwa hela za kampeni na kumtaka CEO ampe hela za watu zilizowekwa benki ili afanyie kampeni, Kimei angekubali bila kupinga.

Nikasema benki kama hii siwezi kuweka hela yangu, kwa sababu haina uongozi thabiti.

Kwa hiyo kwa standard zangu za banking, benki nyingi tu za bongo zitashindwa kufikia standard.

Kuna kipindi mshua alitishia kutoa hela NBC azipeleke Citibank (Tanzania) kwa sababu NBC walishindwa kuweka faragha basic tu ya mteja, ikaja kuwa bonge la issue mpaka Prime Minister akaingilia kumpoza mshua aweke uzalendo mbele (zilikuwa fedha nyingi sana za umma, millions of USD).Akamfanyia heshima PM na kuziacha hela NBC.

Kwa hivyo benki za bongo zina matatizo mengi sana zaidi ya hili la jina tu.
 

KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,779
2,000
TPB kirefu chake ni "Tanzania Postal Bank" kama sikosei. Sasa TPB Bank maana yake ni Tanzania Postal Bank Bank? Ni sawa na mtu anayesema "daraja la Selander bridge" anakuwa ametamka "daraja na bridge" kwa wakati mmoja wakati maneno yote mawili yana maana sawa???

View attachment 1171492

View attachment 1171493

NB: NSSF nipeni fao langu la mkupuo. Mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue?
Wewe umeishiwa hoja .Logo ni chaguo la Taasisi husika sasa Wewe unawapangia?. Tunataka huduma hata waandike kwa kisukuma sisi tunaopata huduma tunaelewa.Wewe endelea na majungu yako wenzako wanapiga pesa
 

Mibas

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
3,687
2,000
Mnisamehe leo sijatoa shikamoo kwa wakubwa zangu wote wa humu Jamiiforums. I'm sincerely sorry
Kumbe wewe dogo na bado unataka mpunga wako kutoka NSSF? CCM waliamua msipewe zote bali mpewe kiduchu zingine ni kwa ajili ya matumizi mengine.
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,502
2,000
Katika information theory, kuna hoja kwamba usipotoa habari sahihi, unawaachia wengine watoe habari zao zisizo sahihi zichukue nafasi ya habari sahihi.

Nature abhors a vacuum, so does information.

Habari hazitaki ombwe.

Kwa msingi huu, kusema "TPB is just a name" kunawapa mwanya wadhihaki wasema "actually TPB stands for Tanzanian Popo Bawa".

There you have it.

Tanzanian Popo Bawa Bank.

Deposit at your own risk.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom