English Grammar: Benki ya Posta Tanzania ni TPB Bank au TPBank? Ni sahihi kwa neno "bank" kutumika mara mbili?

Kama mtu anatamka Tpb kumaanisha Tanzania Postal Bank ni sawa ila kwa sasa Tpb ni just a brand name,kufundisha PhD candidates on how to do their homework haimaanishi unajua ama upo sahihi kwa kila jambo PhD sio kipimo cha ufahamu/uelewa wa kila jambo.
I don't do homework, I retired from teaching Ph.D candidates how to do their homework.

I write RFCs and Release Notes.

Kama una kitu cha kubishania kiweke hapa.

TPB Bank is moronic redundancy.

Bisha.
 
Kuna muda inatumika kama neno mfano hiyo salender bridge ni Jina so sion kosa mtu akitamka darqjq la salender bridge
 
Commonly made mistakes in language happen everywhere.

But adopting them in formal bank names is something else.

Ina maana benki haina watu wanaofanya verification na proofreading? Watu waliopewa tender kuchapisha mabango hawaulizi? Wasomi wote wa benki hawajaona hilo?

Hii si commonly made mistake, hii ni accepted way of life, si kweli kwamba wasomi wote wa Tanzania Postal bank hawaoni hili, wamelikubali tu.

Hapo kwenye hayo makosa kuwa accepted kwenye jamii yetu nakubaliana na wewe.

Jaribu tu, kwa mfano, kuingia kwenye tovuti ya idara ya uhamiaji Tanzania.

Inatia hadi kinyaa. Makosa ya kiuandishi all over the place mpaka mtu unajiuliza...’hivi hawa watu huwa wakishaandika hawarudii tena kusoma walichoandika ili kuhakikisha kipo sahihi?’

Mimi mwenyewe tu humu huwa nikiandika kitu, kabla ya kubonyeza ‘post’ huwa narudia kukisoma walau mara moja. Na nikishakibandika nasoma tena. Nikiona kuna makosa ya hapa na pale na kama nina muda, narekebisha nilipokosea.

Sasa hawa wenzetu hawa sijui tu! Ni kama vile wakishaandika hiyo mara ya kwanza ndo imetoka. Na hata kama huwa wanarudia kusoma, basi kuna mawili: ama wanakuwa hawajui kama kuna makosa au wanayaona na hawajali kwa sababu ni hali inayokubalika.

Binafsi sijui lipi ni lipi!
 
Kama mtu anatamka Tpb kumaanisha Tanzania Postal Bank ni sawa ila kwa sasa Tpb ni just a brand name,kufundisha PhD candidates on how to do their homework haimaanishi unajua ama upo sahihi kwa kila jambo PhD sio kipimo cha ufahamu/uelewa wa kila jambo.
Apparently sarcasm is not your strong suit.

I can understand why you do not understand me.

TPB Bank is wrong, a bank should write its name righ, if anything. And that is what matters.

People in this world can be divided into two parts.

Those who want to right wrongs and those who are blaze.

We are on opposite sides of this divide.
 
Kuna kitu kina Kiranga na huyu mleta mada mnakiignore

Tanzania Postal Bank no longer exists.

TPB Bank does. This is not an acronym. This is the brand name itself. Yes it has been derived from the commonly used acronym, but it stands for itself as a name.

TPB is atomic. Do not force expanding it.

TPB Bank Plc ≠ Tanzania Postal Bank Plc

Find a writing (printed or otherwise) by TPB Bank post-rebranding that refers to the bank as Tanzania Postal Bank. Then you will have a case against the name.
 
Hapo kwenye hayo makosa kuwa accepted kwenye jamii yetu nakubaliana na wewe.

Jaribu tu, kwa mfano, kuingia kwenye tovuti ya idara ya uhamiaji Tanzania.

Inatia hadi kinyaa. Makosa ya kiuandishi all over the place mpaka mtu unajiuliza...’hivi hawa watu huwa wakishaandika hawarudii tena kusoma walichoandika ili kuhakikisha kipo sahihi?’...
Tamaduni za uandishi ni za kigeni. Miaka 200 tu iliyopita jamii zetu karibu zote zilikuwa katika oral tradition tu.

Watu wanafikiri transition inaweza kuwa rahisi tu, lakini mpaka leo bado tunafanya transition.Kuna watu hata Kiswahili kinawapiga chenga mpaka leo, kuna watu wengi tu wanafanya TPB mabosi na ni wa kwanza kwenda chuo kikuu katika ukoo wao mzima.

Even more reason to exact the art of writing. Especially for trend setting and influential institutions

Mashikolo mageni genaga!
 
Kuna kitu kina Kiranga na huyu mleta mada mnakiignore

Tanzania Postal Bank no longer exists.

TPB Bank does. This is not an acronym. This is the brand name itself. Yes it has been derived from the commonly used acronym, but it stands for itself as a name.

TPB is atomic. Do not force expanding it.

TPB Bank Plc ≠ Tanzania Postal Bank Plc

Find a writing (printed or otherwise) by TPB Bank post-rebranding that refers to the bank as Tanzania Postal Bank. Then you will have a case against the name.

So what does TPB stand for? Nothing?
 
Tanzania Postal bank waliamua kufanya rebranding kama walivyofanya NMB na CRDB. So neno TPB ni brand name na neno Bank linaonesha huduma inayotolewa. Kwahyo TPB Bank ni sahihi, NMB Bank ni sahihi na CRDB Bank ni sahihi.
TPB kirefu chake ni "Tanzania Postal Bank" kama sikosei. Sasa TPB Bank maana yake ni Tanzania Postal Bank Bank? Ni sawa na mtu anayesema "daraja la Selander bridge" anakuwa ametamka "daraja na bridge" kwa wakati mmoja wakati maneno yote mawili yana maana sawa???

View attachment 1171492

View attachment 1171493

NB: NSSF nipeni fao langu la mkupuo. Mtaani maisha ni magumu sana. Mungu anawaona mjue?
 
Kuna kitu kina Kiranga na huyu mleta mada mnakiignore

Tanzania Postal Bank no longer exists.

TPB Bank does. This is not an acronym. This is the brand name itself. Yes it has been derived from the commonly used acronym, but it stands for itself as a name...

Wangeiita New Tanzania Postal Bank or something else. Ukiita bank TPB Bank, ile B katika TPB Bank inawakilisha nini? Tanzania Postal Bank Bank?

Mtu akiuliza TPB inawakilisha nini watajibuje?

Kwa nini uite baenki jina linaloonekana kama acronym, na kukuonesha wewe mjinga kwa kurudia neno Bank?

Unaweza kwenda kwenye mkutano wa kuomba mkopo taasisis za kimataifa, ukaulizwa swali la introductions tu "What does TPB stand for?" mtu kaona letterhead ina TPB Bank, anategemea TPB iwakilishe maneno mengine, si bank, kwa sababu bank imeandikwa separateley.

Unaanza kujiumauma kushindwa kuelezea mpaka hapo hapo watu wanaona hawa hata jina lao hawalijui, hawafai kupewa mkopo!
 
Duplication ni miongon mwa sifa ya language of advertisement, it add clarity and emphasis to the brand, so mimi sion tatzo, so long as hiyo phrase inatumika kimatangazo zaid.
 
Huyu Kiranga shida yake anajiona anajua kila kitu na hata unapomuelewesha anajitahidi kutumia vilugha vya kujitukuza kwamba ye hawezi kukosea ama anachokijua yeye ndio sahihi,dawa ni kumpuuza tu.
Kuna kitu kina Kiranga na huyu mleta mada mnakiignore

Tanzania Postal Bank no longer exists.

TPB Bank does. This is not an acronym. This is the brand name itself. Yes it has been derived from the commonly used acronym, but it stands for itself as a name...
 
Huyu Kiranga shida yake anajiona anajua kila kitu na hata unapomuelewesha anajitahidi kutumia vilugha vya kujitukuza kwamba ye hawezi kukosea ama anachokijua yeye ndio sahihi,dawa ni kumpuuza tu.
Ningejiona najua kila kitu nisingekuja hapa, tatizo lako hujui nini ni sarcasm na nini ni serious discussion.

Na hata kama nikijiona najua kila kitu, tujadiliane hoja, unachofanya ni kutoka kwenye hoja na kunishambulia mimi binafsi. This is an ad hominem attack. Ni dalili ya mtu aliyeshindwa kujadili hoja.

Unless B stands for something else other than Bank, TPB Bank is a moronic duplication.

Sasa, what does B in TPB stand for?

Usilazimishe ujinga uwe ujanja.
 
Ningejiona najua kila kitu nisingekuja hapa, tatizo lako hujui nini ni sarcasm na nini ni serious discussion.

Unless B stands for something else other than Bank, TPB Bank is a moronic duplication.

Sasa, what does B in TPB stand for?

Usilazimishe ujinga uwe ujanja.

Lakini si wamesema hiyo TPB doesn’t stand for anything...

Ingeweza kuwa hata MJP Bank, etc.

Hujaona wamesema kuwa hiyo benki iliji brand upya ndo ikaanza kuitwa TPB?
 
Sasa umeeleweshwa kwamba Tpb sio acronym tena ni atomic brand name unalazimisha B ni bank hivi hapo kuna cha ziada cha kujadili? Unashindwaje kuelewa kitu kidogo hivi,mbona huwa unatoa nondo zilishoshiba humu!
Ningejiona najua kila kitu nisingekuja hapa, tatizo lako hujui nini ni sarcasm na nini ni serious discussion...
 
Lakini si wamesema hiyo TPB doesn’t stand for anything...

Ingeweza kuwa hata MJP Bank, etc.

Hujaona wamesema kuwa hiyo benki iliji brand upya ndo ikaanza kuitwa TPB?
Bank inayotangaza rasmi kwamba haistand for anything inatisha kuipa hela zako.

Maana yake haistand hata kwenye kukutunzia hela yako!
 
Cc @Kiranga
Kutumia jina la benki kuweka herufi zisizomaanisha kitu ni kuonesha kwamba uongozi wa benki haujui uchumi wa kutumia jina, haujui branding, haujui clear communications etc.

Nimeeleza hapo juu, swali moja la kwanza kabisa watakaoulizwa ni "What does TPB stand for?"

Wakijibu "it does not stand for anything" hapo hapo wanaonekana wanacheza.
 
Back
Top Bottom