English Grammar: Benki ya Posta Tanzania ni TPB Bank au TPBank? Ni sahihi kwa neno "bank" kutumika mara mbili?

Hahahaaa.

Mimi mbona sioni tatizo lolote hapo.

Ni mambo tu ya kibiashara na utambulisho hayo.
Hahaha kuna makosa mbona kule kwenu hawafanyi hivyo?! Nimeona USbank, Chase bank, welsfargo bank, Bank of America, hawaandinki usbank bank, wala bank of texas bank... mtusaidie watumie kiswahili haya ma vizungu yanatutatiza sana.
 
Kutoka "Dodge RAM" kwend RAM hakuna unnecessary duplication.

Nimefanya kwenye mabenki, nimeona rebranding, sijaona rebranding yenye moronic duplication.

TPB ya sasa, kama hizo herufi si kifupi cha kitu au jina, basi Hiyo unnecessary duplication unayoizungumzia wewe haipo.

Kwa mujibu ya maelezo yaliyotolewa, hizo herufi sasa hivi ndiyo jina la benki. Kwa hiyo, hiyo B haisimami badala ya neno ‘benki’.

Kwa hiyo sasa hivi ukisema TPB Bank, ni sawa.

Sioni tatizo hapo.
 
Kanuni moja ya rebranding ni kufanya rebranding iwe simple, isizae maswali mengi.

Rebranding ya Tanzania Postal Bank kwenda TPB Bank kwa kuangalia swali la mjadala huu tu, imetengeneza maswali na kuonesha kwamba haijafanywa kuwa simple.

Imezua swali ambalo kulijibu ni kazi ya ziada.

What does the B in TPB Bank stand for?
 
Hahaha kuna makosa mbona kule kwenu hawafanyi hivyo?! Nimeona USbank, Chase bank, welsfargo bank, Bank of America, hawaandinki usbank bank, wala bank of texas bank... mtusaidie watumie kiswahili haya ma vizungu yanatutatiza sana.
Citibank wame rebrand kutoka Citibank kwenda Citi. I was there. Mpaka email addresses wakabadilisha kutoka @citibank.com kwenda @citi.com.

Sijaona Citibank Bank!
 
Nimetoa mfano wa ESPN networks hapo!

Halafu Marekani mabenki yapo mengi saaana.

Mifano uliyoitoa haimaanishi hakuna benki ambazo zinatumia herufi tu kama jina.

Ushaisikia Bank OZK wewe?
 
Citibank wame rebrand kutoka Citibank kwenda Citi. I was there. Mpaka email addresses wakabadilisha kutoka @citibank.com kwenda @citi.com.

Sijaona Citibank Bank!

Sawa, wao waliamua kuji rebrand hivyo.

Nothing wrong with that.
 
TPB ya sasa, kama hizo herufi si kifupi cha kitu au jina, basi Hiyo unnecessary duplication unayoizungumzia wewe haipo.

Kwa mujibu ya maelezo yaliyotolewa, hizo herufi sasa hivi ndiyo jina la benki. Kwa hiyo, hiyo B haisimami badala ya neno ‘benki’.

Kwa hiyo sasa hivi ukisema TPB Bank, ni sawa.

Sioni tatizo hapo.
Come on, yani bank ina rebrand kutoka Tanzania Postal Bank, halafu inaenda TPB Bank, halafu inakuambia TPB stands for nothing?

Hiyo ni bank au maonesho ya mazingaombwe?
 
Sawa, wao waliamua kuji rebrand hivyo.

Nothing wrong with that.
Bank inayoshindwa kuelezea jina lake tu binafsi siwezi kuweka hela zangu humo.

Ila kwa wabongo wengi tulivyozoea bora liende hili linaweza lisiwe big deal.

Watakwambia "Si ushaelewa, kwani tatizo nini?"
 
Hao Tpb nenda kakope kwao milolongo kibao utazani unaomba funguo za mbingun vile
 
Come on, yani bank ina rebrand kutoka Tanzania Postal Bank, halafu inaenda TPB Bank, halafu inakuambia TPB stands for nothing?

Hiyo ni bank au maonesho ya mazingaombwe?

Ukisema hujapenda hilo jina, sawa. Nitaelewa.

Lakini ukisema kuna makosa. Nakataa. Haupo sahihi.

Na nimekupa mfano wa ESPN ya sasa. Ambayo siyo acronym tena. Bali ndo jina la chaneli.

Zamani ndo ilikuwa acronym. Siyo tena.

Kwa hiyo kusema espn networks, hakuna makosa.

Sioni tatizo kwenye TPB bank.
 
Ukisema hujapenda hilo jina, sawa. Nitaelewa.

Lakini ukisema kuna makosa. Nakataa. Haupo sahihi...
Ukishaanza na acronym, halafu useme jina si acronym, hayo ndiyo mazingaombwe yenyewe ninayoyasema.

By the way, ESPN kama si acronym inaandikwa Espn, si ESPN.

I see what they are trying to do, they are trying to eat their cake and still have it too.
 
Nimetoa mfano wa ESPN networks hapo!

Halafu Marekani mabenki yapo mengi saaana...
Hahaha kwa hiyo tunakosea kwenye vifupi?! Basi tutumie virefu ili kuondoa mchanganyo kama huu, sasa hata hiyo Bank OZK bado hawajafanya tufanyayo sisi.

Hawajaiita Bank OZK bank! Sijaelewa unatetea nini wakati kosa limeonekana, TPB bank, NMB bank, CRDB bank! Na kwa kuongezea "barabara ya Morogoro Road". Kiswa-nglishi tunakosea vizungu tunakosea bora tutumir kiswahili tupu.
 
Ukishaanza na acronym, halafu useme jina si acronym, hayo ndiyo mazingaombwe yenyewe ninayoyasema.

By the way, ESPN kama si acronym inaandikwa Espn, si ESPN.

I see what they are trying to do, they are trying to eat their cake and still have it too.

Hahaha kwa hiyo tunakosea kwenye vifupi?! Basi tutumie virefu ili kuondoa mchanganyo kama huu, sasa hata hiyo Bank OZK bado hawajafanya tufanyayo sisi. Hawajaiita Bank OZK bank! Sijaelewa unatetea nini wakati kosa limeonekana, TPB bank, NMB bank, CRDB bank! Na kwa kuongezea "barabara ya Morogoro Road". Kiswa-nglishi tunakosea vizungu tunakosea bora tutumir kiswahili tupu.

B kwenye TPB haisimami badala ya neno ‘bank’.
 
Benki kama hii haikawii kukutungia accounting principles mpya zitakazofanya kila shilingi yako uliyoweka kwao baada ya mwaka iwe senti hamsini.

Wanaweza kukuambia "tume i rebrand one shilling iwe fifty cents"!
Reasons zako ni za kitoto sana
 
Branches nyingine za TPB kwakweli mnafifisha ustawi wa Bank, huwezi demand national identity card pekee katika kufanya forex, wakati benki nyingine hawafanyi hivyo?? Yaani mhudumu anakuambia bila National ID hakuna forex. huo ni uhujumu usio na maana.
Wamekariri
 
Back
Top Bottom