English Grammar: Benki ya Posta Tanzania ni TPB Bank au TPBank? Ni sahihi kwa neno "bank" kutumika mara mbili?

😀😀😀 kiongozi katika lugha ipo lugha ya matangazo kwahiyo makosa ya grammar hufanyika ili kushawishi mfano hapo TPB BANK umeona umehisi kuna kosa ila hapana ukiwafuata wataalamu wa lugha ya kingereza wakiona hivyo wanaelewa kwanini imekuwa hivyo. Kwahiyo TPB BANK ipo sahihi kabisa ikiwa kama logo ya biashara

Na lengo kuu la kufanya makosa ya grammar ni kufanya msomaji astuke aseme mbona wamekosea hapo ile wewe kukuuliza tayali ujumbe umeupata ndio maana utaona sehemu pamefunguliwa tangazo kubwa linasomeka NOW OPENING, au HERE CALL

Kwaiyo kama umesoma kingereza cha English course au cha kuishia kidato cha nne hii ngumu kuelewa at list waliofika kidato cha sita wakasoma language kuna ile language two mambo ya stylistic anaweza pata concept hapa kwanini hapo TPB BANK

Wale watalamu wa lugha ya kingereza niwarudishe darasani mambo ya words formation mambo ya acronymy, pia stylistic kwenye mambo ya advertisements nadhani mtakuwa mnaelewa kwanini TPB BANK
 
ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO.
USTAWI WA NCHI YETU NI JUKUMU LA KILA MMOJA WETU NA UNAANZA NA WEWE.
TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Back
Top Bottom