Jamiiforums is accessible worldwide. Tunawaomba mtusaidie kuitangaza vema Tanzania yetu walau mara moja tu kila mwezi (Tarehe15 au 28)

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Kama umekuwa ukifuatilia threads zangu nyingi za humu jamiiforums nimekuwa nikishauri mbinu mpya na mbadala ambazo zinaweza kutumika katika kuitangaza vema nchi yetu hususan kupitia njia za kwenye mitandao ya kijamii/social media platforms.

Leo ombi langu kubwa lipo kwa uongozi wa jamiiforums ambao kwa heshima na taadhima zote ninawaomba wao pia washiriki katika campaign hii kuitangaza vema nchi yetu walu mara moja tu kwa kila mwezi aidha iwe Tarehe 15 kati kati ya mwezi au Tarehe 28 ya mwisho wa mwezi.

Ninapendekeza, kuwa na tangazo (banner) la kivutio chochote cha utalii baada ya comment/reply ya kwanza ya kila thread au kwenye homepage baada ya hayo maneno "recommended" na "trending"
IMG_20190802_074645_915.jpg

Ninafahamu fika ya kuwa hii ni biashara and when it comes to business nothing goes for free, ila tunawaomba kwa heshima na taadhima and for the sake of Patriotism, just help us on this.

NB: NSSF naombeni fao langu la mkupuo kwa maana maisha ni magumu sana huku mtaani. Mungu anawaona mjue?

OUR MOTTO
==========
KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YAKO UNAANZA NA WEWE. JIULIZE UMEIFANYIA NINI LA MAANA NCHI YAKO MPAKA LEO HII.
 
Acha kupotosha watu, pia acha kucheza na biashara za watu. Yaani jifunze adabu na kitu cha mtu. Ungekuwa Mstaarabu Usingeandika haya hapa, wenzio wanatafuta wahusika wanakaa mezani wanaangalia wasaidianeje sio kwa style hii.. au unadhani Mnaogopwa? Yaani watumie hela yao kutengeneza artwork, watengeneze banner wapost? Sidhani kama unawaza sawasawa. Huo Uzalendo ungeanzia website ya Ikulu au Website za Serikali. Mshaona JamiiForums ndo Mnyonge wenu wa kuwafanyia Matangazo bure halafu hela za Matangazo mkale nyie? Msitamani vitu msivyo na uwezo navyo. Siku zote mwatangaza wapi?

Nawashauri JamiiForums wasithubutu hata kutoa nafasi moja ya Tangazo bure.

Watu waliozoea vya bure bwana.. Jana juzi nliwatafuta niwape mchango wa mwenge hamjapokea simu🤣🤣🤣
 
Asante kwa mchango wako pia
 
Hahaha nchi anaitangaza Rais wetu,Juzi na jana niliona tulikuwa CNN kwa kumkamata Kabendera, tuli paa sana kwa kumtandika Lisu risasi za kutosha, Azory naye aliongeza ratings. Bila kuwasahau The Economist na bulldozer.
Msipoteze muda Tanzania inafahamika
 
Wanaonekana sio wazalendo kila kukicha wanashinda mahamani kwa kesi zisizo na kichwa wala miguu haya ya kuitangaza Nchi yao yatatoka wapi wakati huo mtandao wenyewe wanatamani waufutilie mbali basi tu wanashindwa...
Kesi zinakuja na kuondoka ila Tanzania itabaki kuwa Tanzania na ni jukumu la kila mzalendo mwenye nia njema na nchi hii kuiombea mema ili izidi kustawi na kusonga mbele
 
Comment nzuri sana hii..!
Acha kupotosha watu, pia acha kucheza na biashara za watu. Yaani jifunze adabu na kitu cha mtu. Ungekuwa Mstaarabu Usingeandika haya hapa, wenzio wanatafuta wahusika wanakaa mezani wanaangalia wasaidianeje sio kwa style hii.. au unadhani Mnaogopwa? Yaani watumie hela yao kutengeneza artwork, watengeneze banner wapost? Sidhani kama unawaza sawasawa. Huo Uzalendo ungeanzia website ya Ikulu au Website za Serikali. Mshaona JamiiForums ndo Mnyonge wenu wa kuwafanyia Matangazo bure halafu hela za Matangazo mkale nyie? Msitamani vitu msivyo na uwezo navyo. Siku zote mwatangaza wapi?

Nawashauri JamiiForums wasithubutu hata kutoa nafasi moja ya Tangazo bure.

Watu waliozoea vya bure bwana.. Jana juzi nliwatafuta niwape mchango wa mwenge hamjapokea simu🤣🤣🤣
 
Hahaha nchi anaitangaza Rais wetu,, Juzi na jana niliona tulikuwa CNN kwa kukumkamata Kabendera, tuli paa sana kwa kumtandika Lisu risasi za kutosha, Azory naye aliingeza ratings. Bila kuwasahau The Economist na bulldozer.
Msipoteze muda Tanzania inafahamika
Achana na maneno ya dhihaka kwenye serious issues. Be matured
 
Back
Top Bottom