Narudia tena, bingwa ni Great Britain a.k.a England, mark my wordsEngland akifanikiwa kumtoa France njia ni nyeupe kutwaa ubingwa.
Au sio?leo England tunashinda kirahisi sana.. tunaelewa inside ya kumzuia mbape
Mark my words [emoji16][emoji16]Narudia tena, bingwa ni Great Britain a.k.a England, mark my words
poleni mashabiki wa England.timu yenu inaongoza kwa nuksi.timu nzuri,ligi nzuri lakini ndo hivyo bahati aikuwa yenu.Narudia tena, bingwa ni Great Britain a.k.a England, mark my words