Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,302
Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la Marekani kwa $Trilioni 5 zaidi. Aanasema nchi hiyo ni kama inaongozwa na chama kimoja cha nguruwe na ni wakati sasa wa kuja chama kingine cha tatu mbadala! Zaidi ameapa kushughulika na wabunge wote waliopitisha bajeti hii kwenye uchaguzi ujao.