Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,612
Reaction score
40,158
Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni.
Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
Screenshot_20250705-135037.jpg
 
Wanataka wapate A ili sijui waendelee wapi na wawe wakina nani na KWA nchi ipi. Hiki ni kipindi cha watoto kufanya kazi za mikono na kuibua vipaji vyao ambavyo vitawalipa kipindi Elimu ya Chuo isipolipa kama Sasa.
Screenshot_20250705-135037.jpg
 
Wakifunga shule hasa madarassa ya kimtihani wakifungua watoto wanakua emptybset mwalimu utapata kazi yakufundisha upya
 
Back
Top Bottom