ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,178
asante kaka nimefanikiwa, hivi hii 12418V 300000 unaiingizaje hapo maana ktk azam symbol rate ina namba 5 tu
12418v30000
asante kaka nimefanikiwa, hivi hii 12418V 300000 unaiingizaje hapo maana ktk azam symbol rate ina namba 5 tu
Hivi haya mambo yanawezekana kwenye dish la dstv?
Kumbe inawezekana hii kitu? Kisimbusi cha Azam peke yake kinaendaje?mkuu nilinunua king'amuzi cha Azam pekee,nilikua natumia dish la dstv na mwenyewe amekuja,ss nataka nitafte la kwangu mkuu.
Mkuu Masasi nilimaanisha kutumia dish la Dstv na decoder ya kawaida.Ndio unaweza ukatumia dish LA dstv kwa kisambuzi cha Azam
Mkuu Masasi nilimaanisha kutumia dish la Dstv na decoder ya kawaida.
Mfano mm ninatumia Dstv na ninanayo decoder ya Mediacom 930Plus.
Je naweza kuzpata hzo chaneli za bure?
Kama ndio, naomba kujuzwa kdgo how to do.
Asante
Haiwezekani tafuta rcva mpeg4 inafaa hiyo Mediacom 930plus MPEG 2 haifaai
nitajuaje kuwa hii ni mpge4 au ni mpeg2?
Haiwezekani tafuta rcva mpeg4 inafaa hiyo Mediacom 930plus MPEG 2 haifaai
Asante sana kiongozi.
Nilijaribu kila chanel iliyoingia ilionekana ni ya kulipia.
By the way Mpeg4 yoyote ni mzuka hata ya kichina? Maana hawa macho madogo sometimes wana mauzauza.
Kama kawaida yao continental wamerudi kule 111..../29999
Hivi ukielekeza dish la azam uelekeo wa dstv je unaweza pata za fta chanel za dstv na je ule uelekeo wa dstv ni east au west ? Maana naona yameelekea kaskazini....
Njia ya picha mkuu.Sijui tutumie njia gani ili baadhi ya watu waelewe ilo zoez dogo hapo juu.?