Dengue
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 2,050
- 1,469
star movies zote free kwenye azam tv... 11938v27500 changamka kabla hazijatowka
Unakimbilia wapi? Kamilisha taarifa basi. Hizi frequencies tunaingiza kwenye position ipi? 5 au 7 degrees East?

Hbr JosephJe decoder ya azam naweza pata local chanel kwa sat ipi na freq zipi?
ok Mr Ndanda, ngoja nijaribu kisha nitaleta mrejesho. Ila je ni zipi utakazozipata.....
Msaada wako mtoa mada,ninaomba unipatie freq za bure za azam mfano muvi combo n.k nimezipoteza nilipokuwa ninasearch.
Joseph
Hbr za asubuhi
Hapo utapata Itv,startv bunge startv music, startv habari ,tbc,channel 10,clouds tv,eatv ,capital tv na nyingine tu
Assante Mr Ndanda, na je setting zingine katika hiyo sat zinabaki default kama ile ya azam isipokuwa hiyo position na nyuzi tu?? Na pia adjustment ya dish linashuka chini au linapanda juu kidogo??
Natanguliza shukran
Thanks mkuu baada ya kuingiza frequencies nimepata machaneli mengi sana including hizo SABC's,eTV lakini tatizo hazionyeshi,zipo tu kwenye list kama zile za rodrigues.Zinazoonyesha ni tatu tu UBC,MBC eti na TBC!Nasikitika KBC hata kwenye list tu haipo.Thanks!!
Joseph
Dish linasogea kulia 3cm kutoka engo ya Azam pkge kisha betua juu kdgo .swali LA kwanza maliza kusett dish upate cgno hayo utayaona
mmhh nimeshindwa kaka... Nilitegesha hapo 17 degree east, nimezungusha sana dish lakini hakuna signal yeyote. Unapozungusha kulia kidogo hizo 3cm unakuwa wapi, nyuma au mbele ya dish?? Naomba maelekezo zaidi namna ya kupata signal hapo za 17 degree
Nyuma ya dish .juu chini 40 signal
mmh ngoja nitamtafuta fundi na kumpa maelekezo. Nina receiver ya mediacom na pia decorder ya azam kwa upande wa dish nina dish la azam. Kutafuta signal ndio kazi. Naomba namba yako kaka Ndanda!
mkuu starmovie ipo amos5 nyuzi 17. ni juu kidogo ya azam
Weka yako nitakutafuta
Haya jamani wale walioshindwa kulipia Azam kama mimi twendeni sawa hapa....
Ukiwa na azam kupitia
Amos5 @17 East kwa kutumia
Freq 10970V 30000 utapata chanel 21 ambazo ni......
Star tv africa
itv
eatv
capital tv
tbc1
chanel 10
star muzik
citizen tv
dw tv
france 24
clouds tv
voa tv
bbc world
cctv 9
star E+
hope tv
emanuel tv
africa tv
star bunge- tz
aljazeera
program 23
Jaribuni na mfurahie hii burudani kwa woteeeee
Shukrani nyingi sana kwa Braza
###Ndanda Masasi!

Je inawezekana kuziingiza ktk king'amuzi cha Zuku? Je hizo frequency unaziingizaje?