Ukiweka mpg4 unapata za azam na hizo nyingine bila kufanya adjustment ya azam tv dish. Au nayo unafanya adjustment pia
ktk mpg4 sipati azam.azam hawana fta hata 1 ila zuku wamezifungua tv zote za kitaifa ktk zinazoonyesha wc hatujui nao watazifunga lini
Maana yake haikubali disecq option 2.0,, hii ni kwa zile receiver kama strong HD ambazo unaweza kuingiza hata sat 16 kwa maana ya Lnb 16. hiyo yako si zaidi ya lnb 4, kwa hiyo check port number uliyofunga cable yako kisha kwenye installation setting weka hiyo number ya port ktk switch... kama ni port namba 1 set 1, kama ni port namba 2 set 2 kwenye receiver yako. Ikikataa badilisha port kwani mara nyingi huwa zinashort na hivyo kutofanya kazi, Nb :usifunge cable yako receiver ikiwa ON, utashort switch yako.
msaada waungwana nimejaribu kutumia option ya kwanza imegoma na hii ya pili baada ya ku add satelite niki search inaonesha zimekamata ila nikija kwenye list ya kawaida sizioni ila redio zipo
KBC 11803H27500,UBC 11880H27500,MBC 11957H27500,kama umetegesha vizur dish lako utazipata
KBC 11803H27500,UBC 11880H27500,MBC 11957H27500,kama umetegesha vizur dish lako utazipata
Dish dogo kama la Zuku linauzwa sh ngap?nahitaj kulitumia kwenye azam tv
mkuu dish la zuku di dogo mno maana ni ft2 bora ununue dish kama la azam amabalo ni cm 20 au dish la ft 4 ambalo utapata signal nzuri sana.nikuulize swali kwamba kwani umenunu king'amuzi bila dish la azam?
mkuu uko wapi na ulinunua bei gani king'amuzi pekee maana huku mara wanazingua eti lazima ununue vyote pamoja kwa bei ya 150000.nimeamua kutumia mpg4 yangu kwa sasamkuu nilinunua king'amuzi cha Azam pekee,nilikua natumia dish la dstv na mwenyewe amekuja,ss nataka nitafte la kwangu mkuu.
mkuu uko wapi na ulinunua bei gani king'amuzi pekee maana huku mara wanazingua eti lazima ununue vyote pamoja kwa bei ya 150000.nimeamua kutumia mpg4 yangu kwa sasa
King'amuzi cha Azam pekee n elfu 90 nilinunua Moro,na nimeshaipata Azam kwa ku2mia dish la ft 6