Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Sijui tutumie njia gani ili baadhi ya watu waelewe ilo zoez dogo hapo juu.?
 
sat ya azam ni Eutelsat East 7A

sat nilio-add ni PAS 7 10 68 5

Freq
12728H30000
12520H27500
11192H03210

hapa mkuu ndio sipati kitu so naomba nijue tatizo langu liko wapi.

tatizo lipo kwenye kuaadd satelite kwani lazima kuna vitu vya kuseti kama LNB Freq 9750- 10600.Disceqc - 1.2,LNB Power - auto, 22k - auto, switch port - port 1, Toneburst - 1, Location - east, Longitude - 68.5

kisha ndio uingize izo frequence mkuu.
 
hapo kwenye longitude nilikuwa naweka 7.0
 
mkuu kama unaitaj sat zamambo ya bori/kabumbu njoo huku,amos@5 nyuzi 17e ku,eutel sat16@16e,astra 4A a.k.a sirius 4.8e ku, apo kwenye kumi na sita ndo utaipata rdv ambayo ni fta,epl jmos na jpili live,(stv utapata epl,bundesliga, na tv orbt ya benin utaona epl karibu na izo zote ulizo taja apo juu utazipata uku poti.

Mwaveja sana poti.
 
Kuhama hapa kwa azam mkuu sitaweza kuna chanel sitaki kuzipoteza pia shemeji yako nae kuna chanel za tamthilia pia itakua sijamtendea haki, labda kama kuna sate zingine ambazo zinapatikana hapo kwa azam bila ku adjust itakua poa sana maake niliongeza nikafanikiwa kupata Rodrigues TV1&TV2,african unite,muvi tv na zingine kama tatu hiv sizikumbuki

Ndugu ulifanyeje ku-add rodrigues tv1&2 na hizo nyingine kwenye decoda ya azam, naomba msaada wa step-by-step maana imenishinda japo kwny decoder ya Zuku nilifanikiwa.

Msalmie shemej etu yakheee....
 
nashukuru wakuu
Babu wa Loliondo
hasa kwa uvumilivu wako na kutokata tamaa najua maumivu ya kumfundisha mtu asie elewa kwa urahisi
HATIMAE NIMEWEZA BAADA YA SIKU 22

Ph-25

nawashukuru saaaaaana.
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana kaka Nyanya mbichi hata mim nimeweza kwa kuuliza hapa hapa jukwaani maake sina utaalam sana na hayo mambo ya sate, Hakuna aliyezaliwa anajua na pia hata kuelewa tunatofautiana ila tu uvumilivu na jitihada za kutaka kujua ndio msingi pekee na ndio maisha yanasonga.

Tuko pamoja sana
 
pamoja mkuu.
 
Safi sana ndugu zangu lengo hapa ni kuyafanya maisha yawe mepesi na sio taabu.
 
aaaah wapi mkuu nimechemka.

unakwama wapi mkuu,mbona ilo zoezi dogo sana.?tukifika sat mnyororo sindo utapasuka medula... Niwekee picha nione hapo unapo kwama,mpaka utaelewa tu mwaka huu.
 
unakwama wapi mkuu,mbona ilo zoezi dogo sana.?tukifika sat mnyororo sindo utapasuka medula... Niwekee picha nione hapo unapo kwama,mpaka utaelewa tu mwaka huu.

Mbona nimekushukuru hapo juu nimefanikiwa leo mungu akubariki sana.
 
Back
Top Bottom