Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Azam washasanukia dili arifu. Sattelike nilizoadd zote na chanel zake wamefuta wenyewe juu kwa juu. What else nitafanya nicheki epl?

kwani ulikuwa ume add sat zipi na ukawa unaona epl?? Ukisha add sat kama hutaki usumbufu kadi yao unaweza kutoa kabisa na kuweka kadi ingine humo hapo hawawezi kukupata tena. Ulia add sat zipi??
 
EPL imeshaanza, je kuna alieicheki mechi yoyote kupitia mautundu haya?
 
PRISCUS JR.
Naomba unielekeze kuongeza freq. Maana satellite nimeongeza. Ninashindwa kupaona pa kuandika freq na simple rate.
 
nenda Menu-search-satellite list-002-ok-bonyeza kitufe chenye rangi iliyoandikwa add
 
Last edited by a moderator:
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.

UPDATE...
................................

Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.

12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.

Sasa hivi Wamebadili hiyo @12728 imekuwa @10721h 30000
 
mi nilizani umenicoti unaongea kitu cha maana.... kwani huu uzi una muda gani humu jf.? na alie kwambia tp nikama msahafu ni nani.? funguka ubongo bwana mdogo... maisha ya sathanter ni kama digidigi... kuhama hama ni lazima.
 
Unapata channels zipi mkubwa. Unaweza kuziorozesha Ili tuzijue.
 
mi nilizani umenicoti unaongea kitu cha maana.... kwani huu uzi una muda gani humu jf.? na alie kwambia tp nikama msahafu ni nani.? funguka ubongo bwana mdogo... maisha ya sathanter ni kama digidigi... kuhama hama ni lazima.

Mbona ka quote akiwa na lengo zuri ila naona kama lugha yako kali
 
wadau kuna amabaye ametumia Smart card yake ya Azam/Startimes kwenye FTA receiver ikakubali?
 
Mbona ka quote akiwa na lengo zuri ila naona kama lugha yako kali

nilicho maanisha ni kua hicho alicho sema yeye tayari marekebisho yalisha fanyika ktk ya uzi huu.. hajausoma wote anakuja na argument ambazo tayari watu walisha zifanyia kazi... anaturudisha nyuma tena.....

ushauri ni kwamba soma uzi wote ndio utoe ulicho nacho moyoni.
 
Hapo nimekusoma ila pia ni vema uka edit ile post #1 ukaweka latest
 
nilicho maanisha ni kua hicho alicho sema yeye tayari marekebisho yalisha fanyika ktk ya uzi huu.. hajausoma wote anakuja na argument ambazo tayari watu walisha zifanyia kazi... anaturudisha nyuma tena.....

ushauri ni kwamba soma uzi wote ndio utoe ulicho nacho moyoni.

Kaka sisi wa zuku je?msaada tafadhali pls
 
hatimaye ting wameachia morningstar tv.wasabato
wanaimba kweli asikwambie mtu.12418 v 30000
amos5🙂viva fta
 
Back
Top Bottom