mkuu uko wapi na ulinunua bei gani king'amuzi pekee maana huku mara wanazingua eti lazima ununue vyote pamoja kwa bei ya 150000.nimeamua kutumia mpg4 yangu kwa sasa
Tangu ifungwe azam tv hapa yapata siku ya 6 leo na azam channel bado hazijafunguliwa. Kila nikiwapigia wanasema tumefungua shida ni ipi hapa, na zile added set & channel nazipata vizuri.
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.
12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila channel zao zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna nadhani hii ni kwa sababu hawajui maana ya HD. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.
2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.
3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.
4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.
5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.
Chezea dish wewe, watu channel zikiroga anaitwa fundi haya mambo yanahitaji ujuzi na uzoefu hasa kwa wale wa Dar ambao muda mrefu walikuwa wanapata free transmission kupitia antenna tofauti na mikoani unaweza ukamwita jirani. Kama unaweza mpe maujuzi ya ziada ndugu yetu daseniorpenda kujishughulisha mkuu hakuna ugumu wowote ule wa kupekua ktk huu uzi kila kitu kipo humu.
Chezea dish wewe, watu channel zikiroga anaitwa fundi haya mambo yanahitaji ujuzi na uzoefu hasa kwa wale wa Dar ambao muda mrefu walikuwa wanapata free transmission kupitia antenna tofauti na mikoani unaweza ukamwita jirani. Kama unaweza mpe maujuzi ya ziada ndugu yetu dasenior
mkuu nimesha elekeza sana hii kitu humu ndani tatizo watu wavivu kujishughulisha kusoma... ktk huu uzi kila kitu anacho kiitaji kipo sijui kwanini apekui.?
Chezea dish wewe, watu channel zikiroga anaitwa fundi haya mambo yanahitaji ujuzi na uzoefu hasa kwa wale wa Dar ambao muda mrefu walikuwa wanapata free transmission kupitia antenna tofauti na mikoani unaweza ukamwita jirani. Kama unaweza mpe maujuzi ya ziada ndugu yetu dasenior
Labda sijafafanua vizuri mimi ninatumia decoder ya Azam tv sina hiyo ya FTA