Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Hiyo pass 7 10685 unaiingiza vip? kwa sababu pale juu utakuta kuna etelsat 7a ya azama na inakupa option ya kuandika na siyo kufanya selection. selection ziko kwenye lnb tu. Msaada wako mkuu pia jana niesearch nikapa channelkama 13 but rdv sijaipata iko kwenye lnb gani na frequency zip

kunamaelekezo umu nilishayatoa kuhusu jinsi ya kuadd sat&frqnce ktk azam kisimbuzi,sikumbuki ni post #ngapi ila waweza kuitafuta humu bdo ipo.kuhusu rdv haipatikani uko iko nyuzi 16 toka hapo nyuzi 7 za azam,ktk sat ya eutelsat 16e@ 16a mpge 2 mkuu,hope umenielewa.
 
1.Azam TV decoder inatumia pia HDMI cable pia ingawa hakuna hata Channel moja ya HD, ila channel zao zina qaulity nzuri kuliko decoder nyingine za Bongo. Wafanyakazi wa Azam TV ukiwauliza mna HD watakujibu ndio ingawa hakuna nadhani hii ni kwa sababu hawajui maana ya HD. Pia channel zao hazigandigandi kama Startimes na wengine.

2. Azam 1 na Azam 2 ndio channel zinazoonyesha VPL mechi mbili kwa pamoja. HAta mechi zinazochezwa mikoani zinaonyeshwa kulingana na uzito wake. Hii ndio kitu inayowafanya watu wengi waipende.

3. Azam TV inaonekana nchi zote kusini mwa jangwa la Sahara. Hii kitu itawafanya wauze sana hasa kwa watanzania wanoishi nchi hizo.

4. Azam TV haina ITV na Star TV. Bado kuna kubaniana na akina Mengi labda na wao wanataka wapewe hizo za Azam 1 & 2 channels kwenye decoder zao.

5. Kwa ujumla Azam TV itauza sana kwa sababu ya kutumia satellite na pia ina channel karibu zote za Kenya na Uganda hivyo watanzania, wakenya na waganda popote walipo kusini mwa sahara wataitaka tuu.

Taarifa ni kwamba kuanzia tar 1 March channel za ITV na eatv tayari zipo hewani kwenye azam TV
 
according na maelezo ya jamaa haipatikani kwenye azam tv bali kwenye receiver ya kawaida inayotumia dish la azam tv
Je ntaendelea kupata channel za azamu na hizo nyingine pia kwa kutumia receiver ya kawaida, au za azam sitazipata au kuziona tena?
 
Je ntaendelea kupata channel za azamu na hizo nyingine pia kwa kutumia receiver ya kawaida, au za azam sitazipata au kuziona tena?

kama umetumia ku pas 7/10 nyuzi 68.5 @e chanel zote zinaonekana,za azam unapata,na izo nyingne unapata pia kwa decoda io io.
 
Hiyo Rodriguez tv mbona kwangu kwenye list iko sawa ila kwenye view inaonesha MBC news

usivurugwe na majina mkuu,kama umepata zote mbili ndio izo izo,na j mos utaona game ya arsenal na evertone,live.
 
12520 v/h 27500 kuna chanel 8, sita hazionyeshi moja inaonesha na moja inaonesha bila sauti.

inayoonyesha muvi tv
bila sauti africa unite

update
add na frequency hii upate package ya muvi tv nafkiri ni king'amuzi cha zambia hiki chanel zao za ukwel kidogo.

12728 h 30000

utapata chanell hizi
-muvi tv
-africa unite
-muvi combo
-muvi muviz
-mta international (ya kiisilamu wale waliotaka ya dini)
-rts 1
-rtvge
-crtv
 
Mkuu MaxMase kama uliandika kitu kama hiki,hauwezi kupata chanel yeyote,hakuna nyuzi kama hizi mkuu.

By MaxMase:
Hiyo pass 7 10685
 
Last edited by a moderator:
12520 v/h 27500 kuna chanel 8, sita hazionyeshi moja inaonesha na moja inaonesha bila sauti.

inayoonyesha muvi tv
bila sauti africa unite

cheza nakitufe cha audio utaipata sauti,chanel nyingne ziko ktk mfumo wa mpge 4,unaitajika uwe na strong receiver zaid ya azam mkuu.
 
Nafurahi mjadala unavyokua na imewasaidia watu wengi hata ambao hawajui mambo ya satelite
 
Mkuu hapo hata nikiscan hakunakitu....Ph-25 unahusika kwa msaada hapa.

mkuu picha nimeziona ila sijajua wapi unakwama kuadd sat au freqnce,nambie vizur tatito nin nikuelekeze.?
 
Nafurahi mjadala unavyokua na imewasaidia watu wengi hata ambao hawajui mambo ya satelite

kawaida mkuu kidogo tulicho nacho tunashare wote,ndo maisha yalivyo choyo haisaidii...binafsi nimetokea mbali sana mpaka hapa nilipo,na hakuna sat itakayo nizingua kwakweli,ila nimehustle sana na haya madish ya sat mpaka nimekoma,lakin kwa sasa niko poa mno,chamsingi nikua mtundu,na kuto kuogopa jua juu ya bati,kutokata tamaa sat inapokuzingua,lazma utusue tu.
 
Back
Top Bottom