Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Vzr kijana, endelea ku enjoy maana kuna m.jinga m.jinga mmoja anajifanya anajua sana kazi yake kukosoa na hata freq moja hajaweka. Then nihesabie kwa wiki umeona mechi ngapi kwa hiyo channel live

Nimewahi kuona game moja live EPL kupitia WBS Channel .
Nitakupa report nikiona mechi zingine
 
Jamani mie labda sijaelewa somo, mm nina dish na king'amuzi kimoja tu cha AZAM, je haya maelekezo mnayotoa yanaitaji dish la pili ama?

Hapo kwa dekoda yako ya Azam na dish lake unapata bila kuongeza receiver wala dish jingine, ingia menu add satellite then uingize hizo frequency.
mwenyewe nimeona mechi moja kwa kufuata hayo maelekezo.
Kwenye recweiver ya kawaida pia unapata bila wasiwasi mi nimeona sehemu zote mbili.
 
Kaka hapo nafahamu unapata game 1 kwa wiki tena game la EPL tu mechi ya jumamosi kupitia Rodriguez au MBC3 ila nafahamu FA CUP ndio mechi zote za siku hiyo na Uefa champ mechi ya jumatano tu pia Europa unapata basi zaidi ya hapo hamna RDV nayo EPL mechi ya jumamosi tu.

BURTON JORDE

Unajua mtu anaelopoka lopoka bila kufanya uchunguzi simpendi kabisa, jirekebishe
 
Hapo kwa dekoda yako ya Azam na dish lake unapata bila kuongeza receiver wala dish jingine, ingia menu add satellite then uingize hizo frequency.
mwenyewe nimeona mechi moja kwa kufuata hayo maelekezo.
Kwenye recweiver ya kawaida pia unapata bila wasiwasi mi nimeona sehemu zote mbili.

Locksman thanks a lot mkuu!
 
Locksman thanks a lot mkuu!

Poa mkuu, ila kuna kitu nimekiona.
kwenye receiver nimepata channel saba including ya congo moja ila kwenye dekoda nimepata channel 3 tu , rodriguez zote mbili na ya congo moja.
Hapo unaweza kujua tatizo nini?
Goodmorning!
 
kuongeza satellite au channel,
nenda main menu» search» satellite list
pale chini utaona rangi na function yake mbele unachagua
ukitaka kuadd frequency na symborate yake una unabofya arrow ya kulia
,pia utaona rangi pale chini na function zake.
ukifuta hivo utaweza kuadd satellite na frequency.

Mkuu samahani, hz technology wengine tunalazimisha! mimi nimefanya km ulivosema, na nime-save ila kila niki-search bado sipati kitu! nisaidie nakosea wp ama nifanyeje?
 
Poa mkuu, ila kuna kitu nimekiona.
kwenye receiver nimepata channel saba including ya congo moja ila kwenye dekoda nimepata channel 3 tu , rodriguez zote mbili na ya congo moja.
Hapo unaweza kujua tatizo nini?
Goodmorning!

Mkuu samahani, mimi nimefika mpaka ktk kui-save 1190 h 3210, from there what's next kaka? maana najaribu ku-search haingii ktk Tv list! naomba msaada wapi nakosea mkuu?
 
Mkuu samahani, unaposema RECEIVER na DECORDER, hapa unanchanganya! naomba na msaada wa kupata hizo channel 7, how?
 
Mkuu samahani, hz technology wengine tunalazimisha! mimi nimefanya km ulivosema, na nime-save ila kila niki-search bado sipati kitu! nisaidie nakosea wp ama nifanyeje?

weee Hud, nipe msaada hapa bhana, una-like badala ya kutoa some help?
 
Mkuu samahani, mimi nimefika mpaka ktk kui-save 1190 h 3210, from there what's next kaka? maana najaribu ku-search haingii ktk Tv list! naomba msaada wapi nakosea mkuu?

Kwanza hiyo frequency angalia vizuri kama umeandika sawa ina miss digit moja ambayo ni 1 inabidi iwe 11192 Au 11190. Na hakikisha ume add satellite usiingize hizo kwa satellite inayotumika na azam.
ukiadd hiyo satellite unai edit pia kama degree 7° na weka east.
then save halafu scan hiyo satellite yako mpya.
utafurahia mkuu
 
Back
Top Bottom