Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,071
- 43,518
mkuu ni pas au eutel satelite
eutesalat 7 east kama ile ya azam vile vile kasoro tu frequency ndio tofauti
mkuu ni pas au eutel satelite
mkuu sio kweli kama unakamata vzr azam media,basi ukichomeka mediacom ukaweka io sat signa hua azishuki chini ya 90.cheki mitambo yako vizur.
mkuu io nyuzi 7 huwezi kuipata afrika,beam zake hazifiki huku,huku tunazipata beam za sub-sahara ambazo kwa io sat unazipata upande wa zuku pekee,hapo sio nyuzi 7 bdo uko nyuzi 5 mkuu.
kaka mimi si mtaalam sana wa dishi sijaelewa hio nyuz 5 na saba ni uelekeo wa dish au setting za satelite tuliyo add. kama ni setting za satelite nina uhakika ni 7 na sio 5 na kama ni uelekeo wa dish unaweza kuwa sahihi
Jembe nimekukubali.....
Thanx kaka...Katika post zote nilizopitia, hii ndo imekua msaada kwangu kwa sababu umeelezea vitu vyote vinavyohitajika. Unajua humu sio kila mtu mtaalamu, so ni vizuri kuweka mambo wazi km hivi. Wengine hawataji LNB freq! Thanks mkuu
eutesalat 7 east kama ile ya azam vile vile kasoro tu frequency ndio tofauti
mkuu nimepitia hatua ila bilabila.
Mkuu hapo hata nikiscan hakunakitu....Ph-25 unahusika kwa msaada hapa.
guys nimepata chanel kama 46 mpya (radio+tv) kwa kutumia satelite yetu ile ile ya 97500-10600 east 7.0 sema tatizo chanell zote zinaonyesha nyeusi tu kasoro moja inaitwa samanyolu ndio inaonesha. kama kuna mtu anaweza kufanya tweak zionyeshe anaweza endelezea toka hapa. frequency ni hizi hapa.
11972 H 27500
11884 V 27500
12052 V 27500
12132 H 27500
12159 V 2348
12169 V 5240
12172 H 27500
Msaada wako mkuu pia jana nimesearch nikapa channel kama 13 but rdv sijaipata iko kwenye lnb gani na frequency zip?guys nimepata chanel kama 46 mpya (radio+tv) kwa kutumia satelite yetu ile ile ya 97500-10600 east 7.0 sema tatizo chanell zote zinaonyesha nyeusi tu kasoro moja inaitwa samanyolu ndio inaonesha. kama kuna mtu anaweza kufanya tweak zionyeshe anaweza endelezea toka hapa. frequency ni hizi hapa.
11972 H 27500
11884 V 27500
12052 V 27500
12132 H 27500
12159 V 2348
12169 V 5240
12172 H 27500
Msaada wako mkuu pia jana nimesearch nikapa channel kama 13 but rdv sijaipata iko kwenye lnb gani na frequency zip?