Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Hebu toa somo fupi au weka Picha kurahisisha mambo. Lnb ya kupata AMOS 5 inakaa position gani baada ya 36E?
Kuna picha nilitoa hapa hapa JF ndo ilimuongoza Fundi wangu
Hebu toa somo fupi au weka Picha kurahisisha mambo. Lnb ya kupata AMOS 5 inakaa position gani baada ya 36E?
Dooh Picha haifunguki! Ngoja nijaribu namna nyingine kufungua!
kama hujui omba uelekezwe,hii elimu inatolewa bure,na mimi nimeitumia na napata fta vizur tu,labda una wivu unakutafuna.
haiwezekani hata kidogo iyo nafasi huku kwetu anayo dstv pekee, yeye aljazeera ana haki ya kurusha middle east. Wewe unafikiri kwa nin aljazeera hawapatakini hapa bongo siku hizi?
Naona hii nayo inahusika piaHii picha ni kwa hisani ya dr samg hivyo kama mnamaswali mumuulize.![]()
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.
12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
Umekosea mkuu ni 11190 H 3210 sio 1032 hamnaga Symbol rate ya hivyo.Wadau kama zoezi la hapo juu limeeleweka,ingiza frequence hizi ambapo baadhi ya chanel wanaonesha epl live.
11190h/v,1032 utapata chanel kibao.
Umekosea mkuu ni 11190 H 3210 sio 1032 hamnaga Symbol rate ya hivyo.
BURTON JORDE
mbona kwenye cable aljazeera kama kawa mkuu,kama hapa morogoro kuna kampuni ya cable ina chaneli za aljazeera sports kama sikosei ni tatu hv na epl kama kawa kama dawa vile mkuu,mi nafikiri waarabu hawana masharti sana kama hawa dstv
Ingizeni
12728 H 30000
11192 H 3210
12645 H 30000
Hapo pana channel 13 including all 6 channels from Muvi tv zambia (combo, muviz, muvi tv, africa unite, nyimbo na prism africa) + others frm west africa na india na Redio 5. Cha msingi add new satellite then weka hizo freq, search nd enjoy
Hapo kuna channel ina EPL, naangalia karibu mechi 5 hivi kwa week LIVE
Wamebadili jina ni Bein Sport. Huku mwanza naipata vyema. Ziko tatu
Ingizeni
12728 H 30000
11192 H 3210
12645 H 30000
Hapo pana channel 13 including all 6 channels from Muvi tv zambia (combo, muviz, muvi tv, africa unite, nyimbo na prism africa) + others frm west africa na india na Redio 5. Cha msingi add new satellite then weka hizo freq, search nd enjoy
Hapo kuna channel ina EPL, naangalia karibu mechi 5 hivi kwa week LIVE
Kaka hapo nafahamu unapata game 1 kwa wiki tena game la EPL tu mechi ya jumamosi kupitia Rodriguez au MBC3 ila nafahamu FA CUP ndio mechi zote za siku hiyo na Uefa champ mechi ya jumatano tu pia Europa unapata basi zaidi ya hapo hamna RDV nayo EPL mechi ya jumamosi tu.Ingizeni
12728 H 30000
11192 H 3210
12645 H 30000
Hapo pana channel 13 including all 6 channels from Muvi tv zambia (combo, muviz, muvi tv, africa unite, nyimbo na prism africa) + others frm west africa na india na Redio 5. Cha msingi add new satellite then weka hizo freq, search nd enjoy
Hapo kuna channel ina EPL, naangalia karibu mechi 5 hivi kwa week LIVE
Kaka hapo nafahamu unapata game 1 kwa wiki tena game la EPL tu mechi ya jumamosi kupitia Rodriguez au MBC3 ila nafahamu FA CUP ndio mechi zote za siku hiyo na Uefa champ mechi ya jumatano tu pia Europa unapata basi zaidi ya hapo hamna RDV nayo EPL mechi ya jumamosi tu.
BURTON JORDE
Hapana Victor si muumbui,ila hili ni jukwaa tu tunaelimishana,mfano awali nilimkosoa kwenye symbol rate badala ya 3210 akaandika 1032,sasa mtu anaweza akaanza majaribio akakosa kitu kwa kosa dogo si unajua mambo ya dish satellite ukikosea frequency au SR hupati kitu,mala ya pili nimenyoosha tu maelezo,maana Eutelsat @7' naifahamu toka GTV (G sports)walipokuwa wanaitumia hiyo satellite.mbna wa muumbua kijana...kwan kajitutumua kwel