Mtoto_wa_Vitoto_Edoo
Member
- Dec 23, 2013
- 16
- 2
Lets tryy
Hapana imeongeza channels 7,nilizo zitambua haraka haraka ni hizo,maana inapo load siku zote uwa total channels ni 52 ila leo imekuwa 59,hivyo mpya zipo 7.Fanya Auto search utaona mkuu!
BURTON JORDE
Unaijua Speed ya Internet ya Kibongo ?
Kama utafanikiwa kuipata IBN TV,basi leo utaona gemu ya yanga na waarabu live..
Kama utafanikiwa kuipata IBN TV,basi leo utaona gemu ya yanga na waarabu live..
Wadau nimefanikiwa kuongeza zingine, cha msingi add satellite nyingine, lnb freq. Weka 97500-10600, location east, longitude 7.0, then tranaponder ingiza zifuatazo, 12645 30000H, 10962 3255H, 11192 3210H, 12520 27500H, 12728 30000H. Kuna channel za drc na west africa.
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.
12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
Katika post zote nilizopitia, hii ndo imekua msaada kwangu kwa sababu umeelezea vitu vyote vinavyohitajika. Unajua humu sio kila mtu mtaalamu, so ni vizuri kuweka mambo wazi km hivi. Wengine hawataji LNB freq! Thanks mkuuWadau nimefanikiwa kuongeza zingine, cha msingi add satellite nyingine, lnb freq. Weka 97500-10600, location east, longitude 7.0, then tranaponder ingiza zifuatazo, 12645 30000H, 10962 3255H, 11192 3210H, 12520 27500H, 12728 30000H. Kuna channel za drc na west africa.
PAS 7 10 68 5 east
Acha uongo tunaangalia Al-jazeera sports tangu mwaka juzi......wewe upo wapi?haiwezekani hata kidogo iyo nafasi huku kwetu anayo dstv pekee, yeye aljazeera ana haki ya kurusha middle east. Wewe unafikiri kwa nin aljazeera hawapatakini hapa bongo siku hizi?
guys nimepata chanel kama 46 mpya (radio+tv) kwa kutumia satelite yetu ile ile ya 97500-10600 east 7.0 sema tatizo chanell zote zinaonyesha nyeusi tu kasoro moja inaitwa samanyolu ndio inaonesha. kama kuna mtu anaweza kufanya tweak zionyeshe anaweza endelezea toka hapa. frequency ni hizi hapa.
11972 H 27500
11884 V 27500
12052 V 27500
12132 H 27500
12159 V 2348
12169 V 5240
12172 H 27500
guys nimepata chanel kama 46 mpya (radio+tv) kwa kutumia satelite yetu ile ile ya 97500-10600 east 7.0 sema tatizo chanell zote zinaonyesha nyeusi tu kasoro moja inaitwa samanyolu ndio inaonesha. kama kuna mtu anaweza kufanya tweak zionyeshe anaweza endelezea toka hapa. frequency ni hizi hapa.
11972 H 27500
11884 V 27500
12052 V 27500
12132 H 27500
12159 V 2348
12169 V 5240
12172 H 27500
mkuu unajua kua io simanyora tv,inapatikana SES @5 e.? Sat inayo tumika na zuku.? Sasa sijui wewe umeipataje huko w7@e..? Labda.....
mkuu ni pas au eutel satelite
mkuu huyo mdau anazungumzia sat ya azam,nanijuavo mim pale kuipata simanyora,ni ngumu,io chanel inapatikana nyuzi 5, e,upande wa zuku,nawasiwasi mkuu kakumbana na kitu cha zuku,akazan ndio nyuzi 7w@e. Mana apo pana sat nyingi sana alafu ziko kalibu kalibu sana,ukikosea tu umepata kingne.
mkuu unajua kua io simanyora tv,inapatikana SES @5 e.? Sat inayo tumika na zuku.? Sasa sijui wewe umeipataje huko w7@e..? Labda.....