Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

12520 v/h 27500 kuna chanel 8, sita hazionyeshi moja inaonesha na moja inaonesha bila sauti.

inayoonyesha muvi tv
bila sauti africa unite

update
add na frequency hii upate package ya muvi tv nafkiri ni king'amuzi cha zambia hiki chanel zao za ukwel kidogo.

12728 h 30000

utapata chanell hizi
-muvi tv
-africa unite
-muvi combo
-muvi muviz
-mta international (ya kiisilamu wale waliotaka ya dini)
-rts 1
-rtvge
-crtv

mkuu kama unaitaj sat zamambo ya bori/kabumbu njoo huku,amos@5 nyuzi 17e ku,eutel sat16@16e,astra 4A a.k.a sirius 4.8e ku, apo kwenye kumi na sita ndo utaipata rdv ambayo ni fta,epl jmos na jpili live,(stv utapata epl,bundesliga, na tv orbt ya benin utaona epl karibu na izo zote ulizo taja apo juu utazipata uku poti.
 
Msaada kaka jinsi ya kuzi-set hizo sate kwenye king'amuzi cha azam!
 
mkuu kama unaitaj sat zamambo ya bori/kabumbu njoo huku,amos@5 nyuzi 17e ku,eutel sat16@16e,astra 4A a.k.a sirius 4.8e ku, apo kwenye kumi na sita ndo utaipata rdv ambayo ni fta,epl jmos na jpili live,(stv utapata epl,bundesliga, na tv orbt ya benin utaona epl karibu na izo zote ulizo taja apo juu utazipata uku poti.

nitahitajika ku adjust dishi? na je hili la azam litafaa? na nitajuaje hii ni nyuzi 16 au 5 au ndo unafanya try and error.
 
nikweli mkuu unaitajika kuaddjust dishi kidogo,au kama una dishi lingne itakua poa,na kama utatumia dish size kama la azam basi unauwezekano wa kupata sat 3,tofauti ktk dish moja,mbili ktk ku band,na moja ni c band, ambazo ni amos 5,eutel sat,na arab sat @5 na kama unatumia strong rcver basi epl zote na ligi zote kubwa utazipata bureee kupitia chanel za irib.

Unapaswa kutumia frqnc husika kuitambua sat ulio ipata, frqnc husika zipo mkuu,na kunamaelekezo ya kufata unapo anza kuzitafuta izo sat,kama ukiyafata hayo maelezo haukosi kuipata sat usika unayo itafuta.
 
mkuu kama unazitaka izo sat inakubid uhame hapo azam ilipo.

Kuhama hapa kwa azam mkuu sitaweza kuna chanel sitaki kuzipoteza pia shemeji yako nae kuna chanel za tamthilia pia itakua sijamtendea haki, labda kama kuna sate zingine ambazo zinapatikana hapo kwa azam bila ku adjust itakua poa sana maake niliongeza nikafanikiwa kupata Rodrigues TV1&TV2,african unite,muvi tv na zingine kama tatu hiv sizikumbuki
 
teh teh teh mambo ya mapenzi bna,haya mkuu kamfukon uko poa fafuta dish lingne madish zako meng tu,nunua dish tupu,na strong rcver ao azam na bongo movie mwachie shem..kama unaweza lakini.
 
Naona umefurahi sana kaka,mambo ya familia haya mkuu wakati mwingine huna jinsi,..kwa uzoefu wako na madish ni aina gani lenye strong receiver na lina bei kias gani kwa makadilio,uwezo wa kupata dish jingine ninao na nitashukuru sana kwa hilo ili niweke kwenye bajeti yangu
 
mpeg 4 srt,inauzwa kilo mbili na therathini,ila ukiongea sana mpaka kilo mbili unapewa,kunamdau humu anaziuza,kaingia dar juzi toka bukombe.
 
Naona umefurahi sana kaka,mambo ya familia haya mkuu wakati mwingine huna jinsi,..kwa uzoefu wako na madish ni aina gani lenye strong receiver na lina bei kias gani kwa makadilio,uwezo wa kupata dish jingine ninao na nitashukuru sana kwa hilo ili niweke kwenye bajeti yangu

kwa upande wa madishi(bati) hua yana range 65 mpaka 70 elfu,ila ina depend na eneo ulipo mkuu.
 
Mkuu ph-25 mi nina ninatumia dish la zuku na decoda yake ila nataka niangalie na azam naweza nunua decoda ya azam nikaitumia pamoja na na dish la zuku na ikawa powa yaani nikapata huduma za azam vizur
 
mkuu inawezekana,lakini signal za azam bdo ziko chini mno, ni 37 hofu wakat wa mvua itakupa tabu sana, kwa sgnal iyo yafaa dish kuanzia ft 3 na kuendelea.
 
mkuu picha nimeziona ila sijajua wapi unakwama kuadd sat au freqnce,nambie vizur tatito nin nikuelekeze.?

sat ya azam ni Eutelsat East 7A

sat nilio-add ni PAS 7 10 68 5

Freq
12728H30000
12520H27500
11192H03210

hapa mkuu ndio sipati kitu so naomba nijue tatizo langu liko wapi.
 
Hiyo pass 7 10685 unaiingiza vip? kwa sababu pale juu utakuta kuna etelsat 7a ya azama na inakupa option ya kuandika na siyo kufanya selection. selection ziko kwenye lnb tu. Msaada wako mkuu pia jana niesearch nikapa channelkama 13 but rdv sijaipata iko kwenye lnb gani na frequency zip

mkuu please hii tecknologia imepiga chenga nipe mtiririko

SAT NIWEKE IPI
LNB FREQ
LNB POWER
22K
SWOTCH PORT
LONGTUDE

SATELITE LIST

.........
...........
............
............

NATANGULIZA SHUKRANI.
 
sat ya azam ni Eutelsat East 7A

sat nilio-add ni PAS 7 10 68 5

Freq
12728H30000
12520H27500
11192H03210

hapa mkuu ndio sipati kitu so naomba nijue tatizo langu liko wapi.

kaka inshort huadd satelite bali unaduplicate. ukiadd satelite ipe tu jina nyanya halafu vitu vyote vilivyobakia viwe kama vya satelite ya azam
 
niingize frequency kwa kutumia sat ya Azam?

mkuu kichwa kigumu kidogo hapo
 
Back
Top Bottom