Kada
Senior Member
- May 3, 2009
- 164
- 28
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
Nimejaribu kwenye dish&decoder ya Zuku kuweka hizo freq & symbolrate, nimepata channels sita: Muvi Combo, Muvi Muviz, MTA International(Hindi channel), RTS 1, RTVGE na CRTV(hii haipo stable sana, kuna kipindi picha zake hazipo clear).
Shukrani kwa #Ph-25