Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
hatu add ktk azam kwan uelekeo ni mmoja ila angle tofauti,ivyo nakushauri uwe na dish lingne,ft6 nizur kwan unaukika wa kupata sat tatu tofauti tofauti kwa mpigo.
Mkuu hivi atuwezi kupata za star tv na itv kwenye azam?