Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Elimu ya bure kuhusu Azam TV

azam tv,jiungeni na aljazeera sports tufaidi epl,ingieni mkataba nao tuone japo hata chaneli 2,3 za soka,nimewakubali sana kwa upande wa chaneli za muvi

haiwezekani hata kidogo iyo nafasi huku kwetu anayo dstv pekee, yeye aljazeera ana haki ya kurusha middle east. Wewe unafikiri kwa nin aljazeera hawapatakini hapa bongo siku hizi?
 
haiwezekani hata kidogo iyo nafasi huku kwetu anayo dstv pekee, yeye aljazeera ana haki ya kurusha middle east. Wewe unafikiri kwa nin aljazeera hawapatakini hapa bongo siku hizi?

Waambie bwana azam was meant for vpl na epl angalau mechi moja kwa wiki
 
haiwezekani hata kidogo iyo nafasi huku kwetu anayo dstv pekee, yeye aljazeera ana haki ya kurusha middle east. Wewe unafikiri kwa nin aljazeera hawapatakini hapa bongo siku hizi?

acha kukata tamaa mapema,inawezekana tafuta dish la futi nane,na receiver ya aljazeera mtafute fundi akufungie,kwa mwaka unalipia dola mia.
 
Mrejesho nimetumia receive ya mediacom 930plus nimepata chanel 12 ila zina katakata alafu itv eatv na capital zipo scrambled hakuna inayoonesha. Satelite ni PAS 7/10 68.5 East . Nimejaribu kwenye receiver ya azam kwa kuongeza hiyo sat na frequency nimezipata badhi zipo vizuri ila Za IPP hazikuingia hata moja.
 
acha kukata tamaa mapema,inawezekana tafuta dish la futi nane,na receiver ya aljazeera mtafute fundi akufungie,kwa mwaka unalipia dola mia.
Na huko mda si mrefu wanakata sa hv wanasajili watu wanaotumia hizo. Huduma zao wakimaliza ambao hawajasajiliwa mnabki gizani hata kama uwe na la futi 8
 
Mrejesho nimetumia receive ya mediacom 930plus nimepata chanel 12 ila zina katakata alafu itv eatv na capital zipo scrambled hakuna inayoonesha. Satelite ni PAS 7/10 68.5 East . Nimejaribu kwenye receiver ya azam kwa kuongeza hiyo sat na frequency nimezipata badhi zipo vizuri ila Za IPP hazikuingia hata moja.

mkuu za mengi haziko upande uo,ila nashukuru kwa kuleta mrejesho,nami muda simrefu nitamwaga nondo nyingne kuhusu dish la zuku..

Ingekua bora orodhesha hapa izo chanel ulizo zipata kwa manufaa ya wote.. Wazijue
 
Kuna na hii nimesoma mahali hebu jaribuni jamani
1. Thiacom 5@78E c band: 3551 H 13333; 3640 H 28066
2. Intel 7/10@68E c band: 4064 H 19850
3. Intel 7/10@68E ku band 12722 V 26557
4. Intel 906@64E c band 3642 R 8545
5. Intel 902@62E c band 3837 L 2466
6. Nss 12@57E c band 3633 R 2625
7. Paksat1@38E c band 3968 H11480
8. EutW4/7@36E ku band 12437 H 23438
9. Arabsat5a@30E c band 4006 R 6111, 4176 L 27500.
10. Badr5@26E ku band 12303 H 27500
11.Eutelsat w6@21E ku 11653 v 15710, 11669 v 2480
12. Arabsat 2b@20E c band 3907 R 1180
13. Amos 5i@17E cband 4172 H 7200
Ku 12370 H 3185, 12374 H 2990
14. Eutelsat w2a @ 10E cband 3927 R 8300, 3951 R 11200
Ku 11638 H 27500, 11663 H 3830
15. Eutelsat w3a @7E ku 12728 h/v 30000, 11192 h/v 3210, 10976 h/v 3333
NB your lnb skew affect the polarity of this sat a lot. If you skew your lnb at 6 o'clock your polarity is H and if your lnb is at 9 or 3 o'clock , your polarity is V.
16. Sirius 4a@4.8E ku 12605 v 29950
17. Rascom @2.8E 4051 R 9012
18.Intelsat10-02@1E cband 4025 R 7324, 4175 R 24800 , 4180 L 21050
19. Atlantic bird3@ 5W cband 3727 R 29950, 4158 R 20330
20. Intelsat 901@18W cband 4108 L 1447, 4140 L 3500
21. Nss7@22W cband 3931 L 25000; 4179 R 27500, 3644 R 27497
kuband 10986 V 30000, 11051 V 30000
22. Intelsat 905@24W cband 4111 L 5750; 4193 L 5179
23. Intelsat 907@27W CBAND 3841 R 10850; 4048 R 7000
24. Intelsat 903 @ 34W cband 3907 L 3041
25. Nss 10@ 37W cband 3805 H 2142
26. Telstar 11N@37W ku band 10965 V 3300; 11477 H 20000
27. Atlantic bird 3@5W kuband 11065 H 18085
 
Mrejesho nimetumia receive ya mediacom 930plus nimepata chanel 12 ila zina katakata alafu itv eatv na capital zipo scrambled hakuna inayoonesha. Satelite ni PAS 7/10 68.5 East . Nimejaribu kwenye receiver ya azam kwa kuongeza hiyo sat na frequency nimezipata badhi zipo vizuri ila Za IPP hazikuingia hata moja.

Mkuu hatua za kuongeza satellite au frequence kwenye king'amuzi cha Azam zikoje, yani umetumia option gani kwenye king'amuzi ktk kuongeza satellite?
 
geuza uelekeo wa dish lako la azam elekeza upande wa dstv tumia receiver ya q sat 15g unapata chaneli zote za dstv

mm nakula StarTV kupitia hiyo QSAT 36E

Lkn pia Ku Amos 5 17E ni LNB ya pili nimeifunga hapo hapo kwenye Dish moja
Nakula Local channels zote isipokuwa EATV
Zilizo stable ni TBC,CH10,ATN,UBC na nyingine za Nigeria
 
Jamani niko job nikirudi nyumbani nitawapa hatua za kuongeza sat kwenye azam
 
hamna ki2 waongo 2 hawa labda n mawakala wa Digiteki,nimejaribu vyote hakuna chanl iliyoingia hata moja

kama hujui omba uelekezwe,hii elimu inatolewa bure,na mimi nimeitumia na napata fta vizur tu,labda una wivu unakutafuna.
 
Hivi receiver ya mediacom iko kipengele gani,intelsat,eulsat au?
 
Hebu toa somo fupi au weka Picha kurahisisha mambo. Lnb ya kupata AMOS 5 inakaa position gani baada ya 36E?
 
Back
Top Bottom