Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 12,413
- 27,291
Mkuu niliingia nikakukuta upo eventWakuu wote mnaangalia mechi? Nani yupo online
Mkuu niliingia nikakukuta upo eventWakuu wote mnaangalia mechi? Nani yupo online
Wazo zuri mkuu.Edo kissy kwanini usianzishe JF eFOOTBALL NIGHT CUP?
Kama wazo likipita app hiyo ya kuandaa.
👇👇👇
View attachment 3314327
Me nipo freshWangapi wapo active na tayari kwa league?
Kama upo tupige 2Mkuu niliingia nikakukuta upo event
Nipo hapaWangapi wapo active na tayari kwa league?
Aah sawaa kaka me nipo😃Ebu tungoje na wengine, alafu kuna mechi hatukumaliza😂
Leo mkuu umekaba adi vivuli🙌Selikavu bando lilikata njiani. Ila mechi zako unanisumbuaga sana😃🔥
Upo vizuri 4312 unaitendea hakiLeo mkuu umekaba adi vivuli🙌
Kuna game ya pili nadhani sijatoka na shot hata moja😃
Inabidi siku mkuu nipate mechi tano ukiwa free za dakika 10
Nadhani nikizipata hizo kwa pamoja nitajifunza kitu...maana nimeshaona direction zangu zipo vibaya sana pamoja na upokeaji mipira na dribbling za kutoka watu... Nadhan kwenye hizo game naweza nikajirekebisha baada ya kuona shida ipo wap ninapopoteza mipira🙏🙏
Wakati mwingine ukiwaacha wacheze wenyewe kubaliana tu na maudhi yaani ndo wanataka wakuonyeshe ufundi wao, wamefanya nimemaliza league nafasi ya 5 😂.Waweke kaka hasa kama unacheza Epl game za Aston villa na Wolves😃😃
Mkuu naona umefuga kuku wa mayai 😂.Razorblade matokeo ya leo nimekufungwa game mbili na mpira mkubwa,
nikapiga chafya moja nikapata draw ila baada ya kuongea na Bibi kijijin kule
Hii nimetoka bila hata shot moja 😃😃😃🙌🙌🙌🙌kosa ambalo wewe huwezi fanya😃
View attachment 3315768
Mbona kama navuja sana au wachezaji sina watu kaziUpo vizuri 4312 unaitendea haki
AI sehemu ya kutoa assist wanapiga chenga mpaka wanapokonywa mpira😃Wakati mwingine ukiwaacha wacheze wenyewe kubaliana tu na maudhi yaani ndo wanataka wakuonyeshe ufundi wao, wamefanya nimemaliza league nafasi ya 5 😂.