Gilberto_
JF-Expert Member
- Aug 29, 2024
- 904
- 2,514
Sawa. Haina nomaNafasi niliyonayo hapa ni ndogo mkuu.
Sawa. Haina nomaNafasi niliyonayo hapa ni ndogo mkuu.
Wakifika utawaona tu.Nitawarudia usiku, mana nimesikia JF humu kuna waalimu wazuri wa eFootball 🥴🔥👍
Sasa B si form nzuri kabisaHata ribery nae ni B, nilimuweka kwa hisani tu 😂.
Nilishamuachia kitambo tuuMpige chini huyo wa 99.
Sawaa upo coming LBC🤣Haya endelea kuchoma coins mie zangu nitachoma kwa Gesperin tu.
Razorblade kazi yako hii kaka🤣🤣Oya wakuu, aliepo free tuzame akanifundishe mchana nilikosa muda 🚀
Usiku kaka mishale ya saa nne nitakuwepo hapa tupeane ujuzi😃😃ila kwangu utajifunza kubutua na kuconcede goal nyingi😃😃Nitawarudia usiku, mana nimesikia JF humu kuna waalimu wazuri wa eFootball 🥴🔥👍
Nipo nakula tizi la kutosha 😂.Sawaa upo coming LBC🤣
Sawaa kaka endelea kula me nitaamia possession games sio mudaNipo nakula tizi la kutosha 😂.
Huko mie hapana bora nipossess kwa kutumia QC.Sawaa kaka endelea kula me nitaamia possession games sio muda
Mshindi anapigwa Ban😃😃 kama zawadiEdo kissy kwanini usianzishe JF eFOOTBALL NIGHT CUP?
Kama wazo likipita app hiyo ya kuandaa.
👇👇👇
View attachment 3314327
Yani kupigwa ban ndo iwe zawadi 😂.Mshindi anapigwa Ban😃😃 kama zawadi
Nataka nijaribu tuuHuko mie hapana bora nipossess kwa kutumia QC.
Eeh uende ukapunzishe kichwa😃😃Yani kupigwa ban ndo iwe zawadi 😂.
Managers unao wangapi?Nataka nijaribu tuu
Alonso anayoManagers unao wangapi?
Hiyo mbaya 😂.Eeh uende ukapunzishe kichwa😃😃