eFootball Special Thread

eFootball Special Thread

😅😅kuna mtu umu ali nipiga 4 ,natafuta mfumo mpya maana nlkua nimezoea 4-1-2-3 na 4-3-3
Ni mimi huyo😃 nililipa kisasi ulinipiga week 2 nyuma😃
Screenshot_20250422_220158_eFootball.jpg
 
Mwalimu Selikavu leo nimewaacha wacheze wenyewe aisee wanapiga mali hatari.

Hii inaleta raha zaidi siku ukiwa umeshinda nyumbani halafu huna movie mpya na hujiskii kucheza game, unawasha smart view kwenye simu unaunga na smart tv yako unakula burudani 😂.

Konami leo asubuhi wameamua kunitunuku coins 130 na kuifanya kazi ya kumpata G.P. Gesperin kuwa rahisi.
IMG-20250425-WA0008.jpg

Leo ni Gesperin Day.
 
View attachment 3314963

Leo ni Gesperin Day.
Umemnunua?
 
Back
Top Bottom