Next week nitaleta mkuuLigi inaanza lini jamani sio k wa a mfungo huu
Mkuu kwema😃
Unacheza Efootball??
Huyu sio bureSongDirector to the WorldView attachment 3632258
😃😃😃Mtu mpaka ana stream TikTok mchezo...Huyu sio bure
Uwezo mdogo😃😃😃Mtu mpaka ana stream TikTok mchezo...
Marking inamsaidiaUwezo mdogo
Huyu ni vile hatukukutana mbona na mimi ningeeka marking ndiyo afurahiMarking inamsaidia
Bapa tu bapaHuyu ni vile hatukukutana mbona na mimi ningeeka marking ndiyo afurahi
Mi nkikutana na mtu kanizidi uwezo aagh apo viungo watakaa watano 😂😂 utachagua upaeBapa tu bapa
Marking ni ujinga wa hali ya juuBapa tu bapa
Siwezi cheza na markingMarking ni ujinga wa hali ya juu
Ishh 😂 mwanang naomba trick mi nishachoka kuchezea coins