Unafoka kabisa toa pass umbwaa wewe🤣🤣Mwalimu Selikavu leo nimewaacha wacheze wenyewe aisee wanapiga mali hatari.
Hii inaleta raha zaidi siku ukiwa umeshinda nyumbani halafu huna movie mpya na hujiskii kucheza game, unawasha smart view kwenye simu unaunga na smart tv yako unakula burudani 😂.
Konami leo asubuhi wameamua kunitunuku coins 130 na kuifanya kazi ya kumpata G.P. Gesperin kuwa rahisi.
View attachment 3314963
Leo ni Gesperin Day.
LBC player in town🤣Mwalimu Selikavu leo nimewaacha wacheze wenyewe aisee wanapiga mali hatari.
Hii inaleta raha zaidi siku ukiwa umeshinda nyumbani halafu huna movie mpya na hujiskii kucheza game, unawasha smart view kwenye simu unaunga na smart tv yako unakula burudani 😂.
Konami leo asubuhi wameamua kunitunuku coins 130 na kuifanya kazi ya kumpata G.P. Gesperin kuwa rahisi.
View attachment 3314963
Leo ni Gesperin Day.
Haina noma kaka. Night!Net leo inazingua kwangu balaa
Sawaa kakaHaina noma kaka. Night!
Kama ulikuwepo mkuu walikuwa wananikera kama vile nilikuwa naangalia mpira, kuna mechi 1 ilibidi kipindi cha pili dakika ya 70+ nicheze mwenyewe ilikuwa tayari nimefungwa 1-0, nikarudisha goli na mpira ukaisha 😂.Unafoka kabisa toa pass umbwaa wewe🤣🤣
Hamna mkuu mimi nitaendelea kutumia QC kama chaguo la kwanza ila mara nyingi huwa napenda kubadiri playstyle kwa kila kipindi hii LBC itakuwa nzuri kwangu hata nikizidiwa 😂.LBC player in town🤣
Me kuna siku my league nilikuwa nimefungwa alafu alikuwa anaongoza ligi man cityKama ulikuwepo mkuu walikuwa wananikera kama vile nilikuwa naangalia mpira, kuna mechi 1 ilibidi kipindi cha pili dakika ya 70+ nicheze mwenyewe ilikuwa tayari nimefungwa 1-0, nikarudisha goli na mpira ukaisha 😂.
Mechi zilikuwa tamu sana, mechi ya mwisho wakashinda 5-0 😂.
Sawaa kaka nzuri hiyo..Hamna mkuu mimi nitaendelea kutumia QC kama chaguo la kwanza ila mara nyingi huwa napenda kubadiri playstyle kwa kila kipindi hii LBC itakuwa nzuri kwangu hata nikizidiwa 😂.
Halafu hata kwenye uhalisia timu nyingi duniani kwa sasa zinatumia QC na LBC 😂.
Kumbe na kwenye My League ipo, nipo nafasi ya 3 sasahivi nitawawekea hiyo.Me kuna siku my league nilikuwa nimefungwa alafu alikuwa anaongoza ligi man city
Nikaona nilishalipoteza kombe
Nikaweka AI Control mpk ubingwa nikachukua wajomba walishinda game zote wakati mimi legend wamenisumbua mno
Long balls natumia nikizidiwa tu mkuu, huo mchezo siupendi 😂.Sawaa kaka nzuri hiyo..
Nadhan kwakua unategemea long balls mabeki watakuwa hawatoki sana
Nipo mkuu ila huku kwetu wamekata umeme, nataka niingie niweke tu AI Controlled kwenye My League.Wakuu wote mnaangalia mechi? Nani yupo online
Waweke kaka hasa kama unacheza Epl game za Aston villa na Wolves😃😃Kumbe na kwenye My League ipo, nipo nafasi ya 3 sasahivi nitawawekea hiyo.