Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Unaelekea kutuwekea formation ya mchongo 😂.Navuja mno kati nafikiria kulud kwenye double Pivot😃😃😃
View attachment 3315692
Unaelekea kutuwekea formation ya mchongo 😂.Navuja mno kati nafikiria kulud kwenye double Pivot😃😃😃
View attachment 3315692
Ndo mazero yangu uyageuza mayai🤣🤣🤣Mkuu naona umefuga kuku wa mayai 😂.
Wachezaji wako wazembe basi me nilishinda kabisa 🤣Wakati mwingine ukiwaacha wacheze wenyewe kubaliana tu na maudhi yaani ndo wanataka wakuonyeshe ufundi wao, wamefanya nimemaliza league nafasi ya 5 😂.
Mkuu ni wanataka sifa yani kuna mechi unamaliza umefungwa na umeingia kwenye box ya mpinzani mara nyingi, wanachofanya ni kuuchezea mpira tu hadi unawatukana 😂.AI sehemu ya kutoa assist wanapiga chenga mpaka wanapokonywa mpira😃
Mkuu nenda ujaribu kucheza league ya brazil utaleta mrejesho hapa 😂.Wachezaji wako wazembe basi me nilishinda kabisa 🤣
Ukaamua kuwa mjasiriamali 😂.Ndo mazero yangu uyageuza mayai🤣🤣🤣View attachment 3315784🤣🤣🤣🤣🤣
Rodri anakaba Guardiola anachezesha timu🤣🤣🤣Unaelekea kutuwekea formation ya mchongo 😂.
Wakifika Golini ikingia ufunge then toka waache tena wachezeMkuu ni wanataka sifa yani kuna mechi unamaliza umefungwa na umeingia kwenye box ya mpinzani mara nyingi, wanachofanya ni kuuchezea mpira tu hadi unawatukana 😂.
Spain tu imenitoa jashoMkuu nenda ujaribu kucheza league ya brazil utaleta mrejesho hapa 😂.
Acha tu kaka🤣🤣Ukaamua kuwa mjasiriamali 😂.
Physical contact ndo booster yakeNataka niingie train kwa wiki 1 wakuu sitomtendea haki Gesperin bila train, nahitaji train kwaajili ya kuitendea haki booster yake pia.
Timu nyingi kwenye ligi yangu wanatumia QC na LBC unahisi huo muda wa kufanya hivyo unapatikana, ukichezea mpira wakikupora basi unaanza kimbizana nao 😂.Wakifika Golini ikingia ufunge then toka waache tena wacheze
NipoWangapi wapo active na tayari kwa league?
Twenzao kakaPhysical contact ndo booster yake
Ndiyo mkuu, sasa hii booster inafaida ukiwa unashambuliwa na ukiwa unashambulia, nataka nijipinde wiki nzima halafu ndo nianze cheza mechi za kirafiki.Physical contact ndo booster yake
Ukienda kichwakichwa NEGAN anakupa mtaji, pakuuzia mayai utajua mwenyewe 😂.Acha tu kaka🤣🤣
Daah nataka nichukue wiki 1 kwaajili ya train, ligi ya kwanza inaweza nikosa.Wangapi wapo active na tayari kwa league?