Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,152
- 10,393
Umeamua iwe hivyo mwalimu mie sina neno 😂.Owaaa nitatuma screenshot za jana kaka🤣🤣🤣
Umeamua iwe hivyo mwalimu mie sina neno 😂.Owaaa nitatuma screenshot za jana kaka🤣🤣🤣
Hata WhatsApp mkuu?Ukitaka kupata notification tumia app web sijajua labda uenable notifications...
Me sina mtandao mwingine kwa sasa zaid ya Jf ndo maana nakuwa active sana naifungua mara nyingi mingine yote nimesign out now ni mimi Jf, Efootball na PUBG siku imeisha...😃
Kikosi chako huwezi fananisha na changu mkuu ndiyomaana trent kwangu anaanza.Trent ana kimbiza sana Rb japo kwenye kikosi changu ata sub hakai
Kikosi changu kidogo lakini natamba nacho.nipe kipa nikupe mess na lewandosky wachezaji wako slow kama konokono
Dah sawaa tuu🤣🤣Singelimapiano 😂.
Whatsapp ninayo kakaHata WhatsApp mkuu?
Watu waone kwann wewe ni Ticha konde🔥Umeamua iwe hivyo mwalimu mie sina neno 😂.
Sawa mwalimu wangu ila kipigo nilichokutana nacho kwa NEGAN kilikuwa kizito na mechi zilikuwa nyingi hata kuweka matokeo sikuweza 😂.Watu waone kwann wewe ni Ticha konde🔥
Ngoja niazime kikosi cha mtu nije.Natest mfumo naomba match
PoaNgoja niazime kikosi cha mtu nije.
Tuma code mkuu.
We jamaa mfumo wako sio poa una middle 5 mtu akizubaa unaweza mpiga mvua😃Natest mfumo naomba match
😅😅kuna mtu umu ali nipiga 4 ,natafuta mfumo mpya maana nlkua nimezoea 4-1-2-3 na 4-3-3We jamaa mfumo wako sio poa una middle 5 mtu akizubaa unaweza mpiga mvua😃
02689444Tuma code mkuu.
Kumbe kumbukumbu unazo 😂.😅😅kuna mtu umu ali nipiga 4 ,natafuta mfumo mpya maana nlkua nimezoea 4-1-2-3 na 4-3-3
😅😅code iyo juuKumbe kumbukumbu unazo 😂.
Mkuu game imekata ngoja niingie tena.02689444
02689444Mkuu game imekata ngoja niingie tena.